Asante kwa kuweka ukweli unaoujua. Lakn naomba nikuulize, vp lakini, unakubaliana na mm kuwa hawaolewi na walioolewa hawadumu kwenye ndoa zao? Naomba experience yako.
Mi jirani yangu ni Nesi wa Bugando na ni Mama mtu mzima. Aliolewa mara ya kwanza akaachika ila kwasasa yupo na mme wake kama miaka 9 ila hawajapata Mtoto na huyu Mme wa sasa.
HIYO SIO KWELI!
sio kweli kvp wakati ushasema ALIOLEWA AKAACHIKAMi jirani yangu ni Nesi wa Bugando na ni Mama mtu mzima. Aliolewa mara ya kwanza akaachika ila kwasasa yupo na mme wake kama miaka 9 ila hawajapata Mtoto na huyu Mme wa sasa.
HIYO SIO KWELI!
Huwezi mruhusu mkeo aende night kwenye ofisi yenye kitanda.
Manesi wa siku hizi wazuri sana...sijui inakuwaje....
Huwezi mruhusu mkeo aende night kwenye ofisi yenye kitanda.
Kazi yao ni ya wito
Mi jirani yangu ni Nesi wa Bugando na ni Mama mtu mzima. Aliolewa mara ya kwanza akaachika ila kwasasa yupo na mme wake kama miaka 9 ila hawajapata Mtoto na huyu Mme wa sasa.
HIYO SIO KWELI!
hakuna shida yoyote ni mwanamke kama wengine cha muhimu ni tabia hauoi profession.
Huwezi mruhusu mkeo aende night kwenye ofisi yenye kitanda.
we umeniacha nacheka kweli hapa mpaka nimepaliwa kumbe unamezea mate tu ha ha haManesi wa siku hizi wazuri sana...sijui inakuwaje....