Umekosea, maandiko matakatifu yanasema: ni mabikira 70 warembo KHUROUL' AYNWakifika peponi wanatunukiwa wanawake 12...
hizi Imani jamaniiii
Jamaa aliingizwa kwenye ugaidi. Baada ya kuhoji uhalali wa kuua raia katika balozi za Marekani Dar na Nairobi, ambapo waatu zaidi ya 200 waliuawa kwa sababu ya wamarekani 12, kiongozi wa Osama, alimwambia kwa itidaki yao ni pamoja na hakuna raia pale kunapokua na adui yao. Akasema "Hata hivyo waliokufa katika milipuko ya balozi za marekani Dar na Nairobi, ni makundi ya waafrika tu, nani anajali?".
Ukisikiliza clip hii inakupa picha ya ndani kabisa kwamba vita hivi si vya kidini bali ni maslahi ya kisiasa na kibiashara za kikanda na kikoo. Ndiyo sababu magaidi hawa wanaua waislam wenzao wote wanabakiza wale tu wanashikamana nao katika malengo.
Sasa ninyi magaidi wa bongo ninajua mtakuja hapa kulazimisha pumba zenu zieleweke, mnalijua hili kwamba mwisho wa siku mnakuwa mbuzi wa shughuli?
Sikiliza, elewa, tafakari, changanua, fanya maamuzi, chukua hatua, kwamba hutafanywa punda wa kubeba agenda za ugaidi begani kwa maslahi yasiyo kuhusu.
Na wewe umekosea pia ni 72. Na bikra zao zinarudi kila zikitolewaUmekosea, maandiko matakatifu yanasema: ni mabikira 70 warembo KHUROUL' AYN
Hamna kilainisho hukoNa wewe umekosea pia ni 72. Na bikra zao zinarudi kila zikitolewa
Pamoja na kunywa juice ya tende na mtume Mohammed S.A.WUmekosea, maandiko matakatifu yanasema: ni mabikira 70 warembo KHUROUL' AYN
Ni mjinga tu ndio ataamini hiyo clip na kumuamini mtoa mada ....Ni sinema nyingine ya waeneza chuki dhidi ya dini nyingine. Hapa imepatikana fursa nyingine ya kuutukana Uislamu na Waislamu!
Target inapokua ni kukashifu dini hasa uislamu basi akili zote za weledi na uchambuzi wa haki huwekwa pembeni na matusi, kashfa na kejeli za kila aina huchukua nafasi. Hukumu inapitishwa kwa kusikiliza clip aliyojirekodi mtu anyejiita spy!!!
Biblia inasema 100Umekosea, maandiko matakatifu yanasema: ni mabikira 70 warembo KHUROUL' AYN
Ni sinema nyingine ya waeneza chuki dhidi ya dini nyingine. Hapa imepatikana fursa nyingine ya kuutukana Uislamu na Waislamu!
Target inapokua ni kukashifu dini hasa uislamu basi akili zote za weledi na uchambuzi wa haki huwekwa pembeni na matusi, kashfa na kejeli za kila aina huchukua nafasi. Hukumu inapitishwa kwa kusikiliza clip aliyojirekodi mtu anyejiita spy!!!
Ni mjinga tu ndio ataamini hiyo clip na kumuamini mtoa mada ....
Unamaanisha hizo Bikra zinaji Renewed zenyewe, yani ni RobotvirgineNa wewe umekosea pia ni 72. Na bikra zao zinarudi kila zikitolewa
Ndiyo hivyoUnamaanisha hizo Bikra zinaji Renewed zenyewe, yani ni Robotvirgine