Kumbukizi ya shambulio la kigaidi balozi za Marekani nchini Tanzania na Kenya mwaka 1998

Dec 23, 2016
31
69
Ni kumbukizi ya miaka 23 toka Osama Bin Laden chini ya kundi la Al-Qaeda kulipua balozi mbili za Marekani nchini Tanzania na Kenya, akishirikiana na kundi dogo kutoka Misri.

Hili ndilo tukio lililomleta Osama katika Uso wa dunia kama mtu hatari zaidi
 
Hawa wote wanatumwa na wazungu na wengine ni side B hivi wazungu na technology zao washindwe kuwamaliza hawa au kujua walipo.
 
Hawa wote wanatumwa na wazungu na wengine ni side B hivi wazungu na technology zao washindwe kuwamaliza hawa au kujua walipo.

Kusoma ndiyo tatizo hawa watoto au vijana wa sasa elimu wanayosomeshwa ni tofauti kabisa na mafunzo ya kiongozi wetu.mfano mzuri ni mashambulio hayo yana ukakasi tu kama ni mauaji ya kisiasa kwa nini wasipige kambi za kijeshi wao wanaua raia wasiyo na hatia au ndiyo vita havina macho?.kwenye ile ndege kulipua majengo yale na wengi waliokufa ni raia wasiokuwa na hatia.huku tunapokwenda kunatisha itakuwa ni ndoto watu kutenda mema kabisa.Vikundi vya ajabu ajabu vinajifanya vinapigania jihadi au maana nyengine vita takatifu,wanajiona wapo kwenye mstari sahihi kumbe wapo kwenye kupotezana.na chanzo cha yote ni mataifa makubwa wanawauzia silaha mlango wa uani.Kwenye media tunaongepewa wanapingana na ugaidi kumbe ni kinyume.Mfano ni siria bashar Asaad anaungwa mkono na urusi waasi wanaungwa mkono na nchi za ulaya magharibi na marekani.Sasa vita vitaisha hapo?
 
Piga ua vita haitokwisha
 
Piga ua vita haitokwisha

Kwanza viishe watauzia nani silaha zao? Wanauma na kupuliza mfano tu leo Africa yote kutulie kuwe na amani wao hawatafurahi.Au mashariki ya kati nako kuwe kimya.kusema hadharani hizi nchi kubwa wanaona aibu ukweli wanafaidika mno na vita hivi ukienda somalia kuna nchi wanawauzia Alshaba utasema hao wanawauzia wanaombea vita iishe.ukienda Congo napo ni vile vile.Hii migogoro inavyoongezeka duniani upande wa pili wanafurahia ila kwenye media wanatangaza amani.Cha kushangaza sasa barani kwao kwa sasa kupo shwari hawataki vita, vita wanazipeleka mabara ya wenzao africa na Asia.Sisi na hao wengine tulivyokuwa kama kuku tunauana kama leo hapa tanzania wapo wanaombea wakina mbowe wakinukishe tu waanze kuuza soko.Na walivyo wahuni anakuuzia wewe silaha kesho pia anamuuzia huyo huyo mpinzani wako mnapigana yeye anaingiza.
 
Hiyo ni mitazamo ya kizamani sana!! Yaani mshindwe kujiongoza nyie, kwa utaratibu mliowekeana, huyu muda wake wa kutoka madarakani umeisha hataki kutoka, mnaanza kupigana, hapo mzungu kuuza silaha ana kosa gani?vita vya RWANDA, watu karibu milioni moja waliouawa, waliuawa kwa bunduki?asilimia kubwa si yalikuwa mapanga, huko kongo hadi leo si kuna watu wanauana kwa mapanga tu?!!na vinapotokea vita hao hao wazungu kwa kupitia mashirika yao ndio tena wanakuwa na kazi kubwa ya kuwatunza wakimbizi wenu?!!kamwe Afrika kwa siasa zetu hizi za kishamba hatuwezi kutulia, na chanzo ni sisi wenyewe tu, wewe kiongozi anakaa madarakani miaka 30!!na bado wanaonufaika naye wanamuona ndiye mwenye uwezo wa kuongoza nchi na hakuna mwingine??
 
Ni kumbukizi ya miaka 23 toka Osama Bin Laden chini ya kundi, la Al-Qaeda kulipua balozi mbili za marekani nchini Tanzania na Kenya, akishirikiana na kundi dogo kutoka Misri.
Hili ndilo tukio lililomleta Osama katika Uso wa dunia kama mtu hatari zaidiKUMBUKIZI YA SHAMBULIO LAKIGAIDI KATIKA BALOZI MBILI ZA MAREKANI TANZANIA NA KENYA
Dah, mpaka nimekumbuka Tulinawe Kamwela, Ikupa Paighty Mwainyekule, Michael Mahenge na Lutufyo Mvumbagu.

Bomu lilitengenezwa Ilala Bungoni, jirani na nyumba ya kina Ikupa.
 
Dah, mpaka nimekumbuka Tulinawe Kamwela, Ikupa Paighty Mwainyekule, Michael Mahenge na Lutufyo Mvumbagu.

Bomu lilitengenezwa Ilala Bungoni, jirani na nyumba ya kina Ikupa.
Ni kumbukumbu isiyokuja futika..
 
Hiyo ni mitazamo ya kizamani sana!! Yaani mshindwe kujiongoza nyie, kwa utaratibu mliowekeana, huyu muda wake wa kutoka madarakani umeisha hataki kutoka, mnaanza kupigana, hapo mzungu kuuza silaha ana kosa gani?vita vya RWANDA, watu karibu milioni moja waliouawa, waliuawa kwa bunduki?asilimia kubwa si yalikuwa mapanga, huko kongo hadi leo si kuna watu wanauana kwa mapanga tu?!!na vinapotokea vita hao hao wazungu kwa kupitia mashirika yao ndio tena wanakuwa na kazi kubwa ya kuwatunza wakimbizi wenu?!!kamwe Afrika kwa siasa zetu hizi za kishamba hatuwezi kutulia, na chanzo ni sisi wenyewe tu, wewe kiongozi anakaa madarakani miaka 30!!na bado wanaonufaika naye wanamuona ndiye mwenye uwezo wa kuongoza nchi na hakuna mwingine??
Sasa si hata hayo mapanga tunanunua uchina mkuu. Mimi nilichoshangaa zile balozi zilivyopigwa hakuna hata balozi mmoja aliyepata japo mchubuko tu
 
Sasa si hata hayo mapanga tunanunua uchina mkuu. Mimi nilichoshangaa zile balozi zilivyopigwa hakuna hata balozi mmoja aliyepata japo mchubuko tu
Ni sawa lakini, hata huku kwetu yanapatikana tu, sio kama bunduki!!tatizo la hao magaidi huwa hata siwaelewi, wanaugomvi na fulani, wana mletea madhara makubwa mtu mwingine kabisa ambaye kwenye ugomvi wao hayumo!!
 
Ila mwenye ugomvi nae anakuwa anaumia
 
Na hivi karibuni kimeamka tena afghanstan, kina mullah omar wameamka upyaaaa! ni kitimtim kwenda mbele.
Dunia uwanja wa fujo.
 
Kusoma ndiyo tatizo hawa watoto au vijana wa sasa elimu wanayosomeshwa ni tofauti kabisa na mafunzo ya kiongozi wetu.mfano mzuri ni mashambulio hayo yana ukakasi tu kama ni mauaji ya kisiasa kwa nini wasipige kambi za kijeshi wao wanaua raia wasiyo na hatia au ndiyo vita havina macho?.kwenye ile ndege kulipua majengo yale na wengi waliokufa ni raia wasiokuwa na hatia.huku tunapokwenda kunatisha itakuwa ni ndoto watu kutenda mema kabisa.Vikundi vya ajabu ajabu vinajifanya vinapigania jihadi au maana nyengine vita takatifu,wanajiona wapo kwenye mstari sahihi kumbe wapo kwenye kupotezana.na chanzo cha yote ni mataifa makubwa wanawauzia silaha mlango wa uani.Kwenye media tunaongepewa wanapingana na ugaidi kumbe ni kinyume.Mfano ni siria bashar Asaad anaungwa mkono na urusi waasi wanaungwa mkono na nchi za ulaya magharibi na marekani.Sasa vita vitaisha hapo?
Huko Afghanistan waasi wameshakamata nchi, wanaua raia kila pande
 
Huko Afghanistan waasi wameshakamata nchi, wanaua raia kila pande

Wamarekani na washirika wake wa nchi za ulaya Magharibi NATO wameivamia hiyo nchi huu mwaka wa 20 wameshindwa kuleta amani wameondoka kwa aibu kwa sababu malengo yameshindwa.Unajua baada ya kuanguka mfumo wa ufashisti kushindwa na ukomunisti nao ukaja kushindwa na Ubepari.Sasa kiongozi akiwa marekani mfumo wa ubepari una misingi mingi sana.Wao walitaka waeneze demokrasia ulimwenguni kote ila hawakulijua hilo kama kuna baadhi ya maeneo mfumo huo utakwama mfano mzuri ni nchi za huko Asia Demokrasia baadhi ya nchi hazijaleta manufaa zaidi ya kuleta tu vita waliivamia Afganistan kisingizio kuindoa Taleban na Alqaida. Na ni kweli waliiondoa wakataka iwe nchi ya kidemokrasia badala yake mpaka leo hii amani hakuna na ni miaka 20 wameamua kuondoka,Taleban wanakuja kwa kasi sasa.Waliivamia Iraq kumuondoa Sadam Hussein kisingizio anamiliki silaha za sumu na bila idhaa ya umoja wa mataifa kama itakumbukwa vita ile ufaransa ilivipinga na hata ujerumani,china na urusi,wakafanikiwa kumuondoa ambaye kwao alikuwa ni dikteta, wakaweka vibaraka wao lakini wakashindwa kuzionyesha silaha za sumu kama walivyoahidi, Mpaka leo Iraq hakujatulia kabisa kama enzi za Sadam kumbuka hii ni nchi ya pili wanapeleka Demokrasia huko.Wanaondoka huko wakaanza kuwashawishi libya nao wamuondoe Dikteta Ghedafi na ilikuwa ni mipango ya muda kwa sababu wao wana mifumo wanaitumia yaani njia zao njia ya kijeshi huwa ni mwishoni kama propaganda na mambo mengine yameshindwa.Libia Ghedafi kaondolewa na kafa.Libia hali siyo shwari na walitegemea Demokrasia huko.nchi ya tatu hiyoo ehh.Wakatupia jicho Siria wakasema Bashar ni dikteta na yeye anatakiwa aondoke madarakani wakawatumia wapinzani wake na kuwapa silaha wale waasi bahati nzuri Bashar Asaad alikushikwa bega na Russia ya Putin.Urusi ni mshirika mkubwa wa siria mashariki ya kati ana Military base kama sikosei ni mbili moja ipo katika mji wa Tartus na nyengine ni Latakia.Siria ilikumbwa sana na machafuko na mpaka hii leo ila kama siyo Urusi,Hizibollah ya lebanon wakisaidiwa na iran leo hii Bashar Assad asingeweza kuirudisha ile miji ambayo ilishatekwa na wapinzani sijui niwaite waasi.vita vya 2011 vilipoanzia Hama,Raqqah na miji mingine kama Homs leo hii wala asingekuwa na nguvu ya kubaki kwa kweli.Na ukumbuke Siria ni nchi pekee ya kiarabu yenye uhusiano na iran ilikuwa ni pigo kubwa kama Bashar Assad angeondoka madarakani.Hata huko nako pia hali bado ni tete.tukirudi tena kwetu hapa Africa ni vile vile tu Demokrasia bado sana ilistahili ufalme uendelee tu kwa vita vya somalia walitaka waipeleke demokrasia wakachemsha Marekani aliondoka kwa aibu baada ya maiti za askari wa marekani kuburuzwa barabarani na kuoneshwa kwenye TV.na nchi nyengine nyingi tu Demokrasia imefeli na aibu kubwa ni uchaguzi wa marekani wa mwaka 2000 Zile kura zilileta utata mpaka zikahesabiwa na mikono na uchaguzi wa juzi Trum naye akawa analalamika kaibiwa.lile ni doa kubwa kwa nchi kama marekani ambaye ni kiranja wa demokrasia duniani.Ikiwa marekani rais anasema uchaguzi ulichakachuliwa tanzania ambayo ndiyo inachipukia kwa demokrasia watasemaje?.japo ningeandika mengi ila hii siyo makala inatosha tu kwa ufupi.
 
Wamarekani na washirika wake wa nchi za ulaya Magharibi NATO wameivamia hiyo nchi huu mwaka wa 20 wameshindwa kuleta amani wameondoka kwa aibu kwa sababu malengo yameshindwa.Unajua
Si kweli, wakati wa uwepo wa marekani kulikuwa na amani
 
Kusoma ndiyo tatizo hawa watoto au vijana wa sasa elimu wanayosomeshwa ni tofauti kabisa na mafunzo ya kiongozi wetu.mfano mzuri ni mashambulio hayo yana ukakasi tu kama ni mauaji ya kisiasa kwa nini wasipige kambi za kijeshi wao wanaua raia wasiyo na hatia au ndiyo vita havina macho?.kwenye
You deserve a complement
 
Si kweli, wakati wa uwepo wa marekani kulikuwa na amani

Una uhakika na unachokisema kulikuwa na amani huko? Wakati mashambulizi ya kuviziana yalikuwepo kama kawaida tu.kulikuwa kama iraq tu sema marekani na washirika wake na zile zana za kivita kidogo walikuwa wanawapa ugumu wa kutwaa miji kama wanavyofanya sasa na jeshi la nchi bado ni changa halina uzoefu wataliban wamepata mteremko.ila mabomu yalikuwa yanalipuliwa kama kawaida kwenye mikusanyiko ya watu.Amani labda utasema ilikuwepo kabla haijvamiwa hiyo nchi sema na sheria za taleban tu zilikuwa kali lakini kabla ya 2001 kulikuwa hakuna kusikia sijui bomu limetegwa sokoni au kwenye kituo cha polisi.Ni sawa tu na iraq ya sadam hussein kulikuwa na mabomu ya kila siku kabla ya kuvamiwa?
 
Posted 21 Jul 2015
From AP archive
TANZANIA: US EMBASSY BOMB SUSPECT RELEASED INTO POLICE CUSTODY

(6 Oct 1998) English/Nat

A Tanzanian magistrate has granted a prosecution request to release into police custody one of two suspects charged in the bombing of the U-S Embassy. During a brief hearing, Chief Resident Magistrate Projest Rugazia granted the prosecution request that Rashid Saleh Hemed be released into the custody of Assistant Police Commissioner Robert Manumba for five days to help with the investigation. Hemed, a Tanzanian from Zanzibar, and Egyptian Mustafa Mahmoud Said Ahmed were formally charged September 21 in the August 7 bombing of the embassy in which 11 people were killed.
Source : AP Archive
 
21 Jul 2015
1st day in case of Tanzanian man accused of involvement in embassy bombing

Source : AP Archive

  • (10 May 2001) Johannesburg - 10 May 2001
  • 1. Exterior Constitutional Court
  • 2. Defence team arriving
  • 3. Legal team for the South African government arriving
  • 4. Close-up file label reading: "Khalfan Khamis Mohamed and another vs the President of the Republic of South Africa and Six Others."
  • 5. Mid shot South African government legal team
  • 6. Wide shot lawyers in court
  • 7. Mid shot Mohamed's Senior Counsel Advocate Anwar Albertus
  • 8. Mid shot defence lawyers in court
  • 9. Mid shot judges walking in
  • 10. Wide shot of judges sitting
  • 11. Mid shot of two judges
  • 12. Set-up shot Mohamed's lawyer Jerome Ramages
  • 13. SOUNDBITE: (English) Jerome Ramages, Mohamed's lawyer "We also seek a further order directing a request to the American government by the South African government asking that the death penalty not be imposed alternatively not be carried out in the event that it is imposed, but also to move the jury not to pass the death penalty in the case of Mr Khalfan Mohamed should he be found guilty."
  • 14. Cutaway
  • 15. SOUNDBITE: (English) Jerome Ramages, Mohamed's lawyer "Practically communication with be directed by the South African government to the United States government advising of the decision and also compelling the request that we seek that the death penalty not be imposed in the case of Mr Mohamed." Cape Town - 14 October 1999
  • 16. Wide shot burger store
  • 17. Tracking shot following man into room where Mohamed stayed UPSOUND (English) Mohamed's landlord "This is the room that Nasser moved into three months ago and stayed here with me."
  • 18. Mid shot landlord pans left to bed
  • 19. Wide shot landlord looking through cupboards New York City - 8 October 1999
  • 20. Photograph of Khalfan Khamis Mohamed
  • 21. Close-up court sketch of Mohamed Dar Es Salaam - 7 August 1998 22. Wide view of flames rising from burning vehicles in car park
  • 23. Burning cars
  • 24. Firemen outside blasted building still smoking
  • 25. Injured man being passed over fence
  • 26. Rubble of building

  • STORYLINE: Lawyers for Khalfan Khamis Mohamed, accused of participating in the bombing of the US Embassy in Dar Es Salaam, launched an urgent application on Thursday in South Africa's highest court in a bid to stop him from being sentenced to death in America. He has been accused of conspiring with Osama Bin Laden to bomb the US Embassy in Dar Es Salaam in August 1998. Mohamed, a Tanzanian citizen living under an assumed name in South Africa was arrested and handed to the FBI who flew him to the US in October 1999 in an action his lawyers say was illegal. Mohamed is seeking an order from South Africa's Constitutional Court declaring his deportation unlawful and compelling the South African government to request that the court in New York City does not impose the death penalty on him or alternatively does not carry it out. Six days of closing arguments in the 3 month long trial concluded on Wednesday and it is expected that the jury will begin deliberations on Friday. The trial centres on four men who are accused of carrying out both the Dar Es Salaam bombing and the near-simultaneous attack on the US embassy in Nairobi . The defense attorneys argued their clients were victims of guilt by association with exiled Saudi millionaire Osama bin Laden. An indictment charges the defendants with joining a terrorist plot by bin Laden to drive U.S. forces out of the Middle East by killing Americans everywhere. Defence attorneys portrayed Mohamed as a pawn in a scheme he knew nothing about. Find out more about AP Archive:
 
Back
Top Bottom