Maneno ya Mwalimu Nyerere juu ya Udikteta

Maneno ya Mwalimu Nyerere juu ya Udikteta

Nyerere hakuwa malaika na alifanya makosa mengi tu na hata yeye mwenyewe alikiri hivyo. Na kama si yeye ile Tume iliyotembea nchi nzima kukusanya maoni kuhusu mfumo wa vyama vingi nchini ingeandika kwamba Watanzania wamekataa mfumo wa vyama vingi hivyo si ajabu hadi hii leo tungekuwa bado tuna mfumo wa chama kimoja.

Ilikuwa lazima afanye vile in order to clean the mess that he created.

Yeye ndie alifuta vyama vingi!

Huwezi kumpa credit kwa kwenda kinyume na matakwa ya Tume ya Nyalali. Tusingehitaji Tume ya Nyalali 1992 kama Nyerere asingefuta vyama vingi 1965!

Na ukisema Nyerere hakuwa malaika, ana mapungufu yake, basi hata hao mafisadi waliokuja baada ya Nyerere na wenyewe sio malaika, wana mapungufu yao.

It is so funny. Watu wooote wanakosolewa, wanachanwa, wanachambuliwa, lakini ikija Nyerere akiguswa tu, mnaanza oooh, Nyerere sio Malaika. Basi hata Rugemalira sio malaika, wala Chenge sio malaika, wala Mkapa, wala singasinga Seth, wala Kikwete, wala Malinzi wa TFF, wala Yusuph Manji, tuwaachie wote watoke magerezani!

So much for Baba wa Taifa. Tuwasome wakina George Washington, Alexander Hamilton, John Adams, James Madison walivyotawala na katiba zinazokubaliwa miaka mia nne toka wandoke. Sio unakalia Katiba weeeee halafu unatoka unasema hii Katiba mbovu. Mbona umetawala nayo hukuandika nyingine?

Baba wa Taifa my foot. Ndio maana JK alikuwa anamuita Mzee Nyerere!
 
Ukiona kiongozi wa nchi aliyeingia madarakani kwa kura anageuka kuwa dikteta uchwara ndani ya mwaka mmoja tangu kuingia kwake madarakani basi hesabu huyo atakuwa terrifying dictator kadri muda unavyoenda!!

Madikteta yote duniani yana sifa moja inayofanana! Hawa wanadhani ni wao ndio wenye uchungu na nchi kuliko wengine! Wataongea majukwaani kwa lugha za kujionesha wao ni wazalendo kweli kweli!

Watatenda yale ambayo average person wataona yanafanywa kwa ajili yao kumbe lengo la madikteta ni kuwa na population kubwa nyuma yao iliyojaa mazuzu kwa sababu, kwa asili, mazuzu huwa hawahoji kwa vile Mungu amewanyima uwezo wa kuweza kuangalia mambo kwa jicho la tatu!!

Na kwavile hawana uwezo wa kuhoji, wao watabaki wakishangilia tu kwa kila kitu!!

Hakuna dikteta hata mmoja duniani anayetaka watu wahoji kile anachofanya au kutenda!! Hawa wanataka kauli zao ziwe kama kauli za mitume!! Ukiwa mtu wa kuhoji hoji wewe utakuwa kwenye top list ya maadui wa madikteta duniani kote!! Na kwa madikteta na makuwadi wao, dhima ya kuhoji wanaibadilisha na kuiita KUPINGA!!


Kwa bahati mbaya kabisa, popote utakapoenda duniani, mazuzu kwa viwango vya eneo husika ni wengi kuliko werevu!!!

Hawa mazuzu ndio mtaji wa madikteta duniani kote! Na kwavile madikteta yanafahamu kabisa kwamba population inayowaunga mkono ni Mazuzu Republic, basi mara zote watafanya mambo ya kuwaonesha mazuzu kwamba wao ni "The Chosen!"

Na kwavile ni mazuzu, yatasimama na kushangilia "Wewe ndie mwokozi wetu na tupo tayari kufa kwa ajili yako!!" Na kweli yatakuwa tayari kufa kwa sababu, ni mazuzu tu!!!
Hao wapo huko aliko ni nadra kuwaona wakifikiria, wakitoka nyumbani kwao wanalowea na kutumikishwa mikoa mingine
 
Nyerere alikuwa na mapungufu yake lakini hakuibia Watanzania au kufanya ufisadi dhidi ya a Watanzania wa hata senti moja ukilinganisha na wote waliokuja baada yake.

Huwezi ukilinganisha mapungufu ya Mwalimu na hawa wezi na mafisadi ambao walitumia nyadhifa zao kuibia Watanzania, kuingia mikataba ya kifisadi ili kujitajirisha.

No it is not so funny to try to compare these fisadi, thieves and Mwalimu's short comings as a leader. There is no comparison at all. Wewe huwezi kufanya lolote lile kubadili sifa ya Mwalimu kama Baba wa Taifa. Watanzania wengi watamkubali Mwalimu kama Baba wa Taifa kwa miaka chungu nzima ijayo UTAKE USITAKE. Hata ukijinyonga haitasaidia lolote.

Kikwete huyo huyo aliyedai pesa za Escrow si za Taifa leo unamtukuza kwa kumuita Mwalimu Mzee Nyerere! Uliwahi kumuuliza sababu za fisadi Kikwete kumuita hivyo!?

Ilikuwa lazima afanye vile in order to clean the mess that he created.

Yeye ndie alifuta vyama vingi!

Huwezi kumpa credit kwa kwenda kinyume na matakwa ya Tume ya Nyalali. Tusingehitaji Tume ya Nyalali 1992 kama Nyerere asingefuta vyama vingi 1965!

Na ukisema Nyerere hakuwa malaika, ana mapungufu yake, basi hata hao mafisadi waliokuja baada ya Nyerere na wenyewe sio malaika, wana mapungufu yao.

It is so funny. Watu wooote wanakosolewa, wanachanwa, wanachambuliwa, lakini ikija Nyerere akiguswa tu, mnaanza oooh, Nyerere sio Malaika. Basi hata Rugemalira sio malaika, wala Chenge sio malaika, wala Mkapa, wala singasinga Seth, wala Ndama mtoto wa Ng'ombe, wala Kikwete, wala Malinzi wa TFF, wala Yusuph Manji, tuwaachie wote watoke magerezani!

So much for Baba wa Taifa. Baba wa Taifa ni wakina George Washington, Alexander Hamilton, John Adams, James Madison. Wametawala na katiba a thousand years ago na mpaka leo zinakubalika. Sio unatumia Katiba miaka 30 halafu unatoka unasema hii Katiba mbovu. Mbona umetawala nayo hukuandika nyingine?

Baba wa Taifa my foot. Ndio maana Kikwete alikuwa anamuita Mzee Nyerere!
 
"Katiba hii imenipa madaraka makubwa sana, ipo siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na atakuwa kama Mungu."

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
23 Februari 1982.
mara kwa mara sauti yake ktk hotuba ile hunirudia kichwani,na hapo ndipo unaona ouvu wa nyerere. Yule mzee alikuwa mtu mbaya sana,Huyu magu ni zAo la katiba yake
 
Alikubali makosa yake lakini kama Mkapa aliyeliibia Taifa na kusaini mikataba ya kifisadi, kuiba shirika la umma, fisadi Kikwete aliyetuingiza mkenge kwenye IPTL, mikataba mbali mbali ya nchi ikiwemo ya madini, kudanganya umma kuhusu ni nani mwenye uhalali wa pesa za escrow, fisadi Magufuli kukwapua nyumba za Serikali, kulidanganya Bunge kuhusu upotevu wa zaidi ya bilioni 200, kukwapua pesa za rambi rambi, kutumia zaidi ya trilioni moja ambazo hazikuidhinishwa na Bunge, Mwalimu hakufanya hata moja ya hayo madudu dhidi ya Watanzania. Hivyo Mwalimu KAMWE hawezi kuwa MBAYA SANA kuliko wezi na mafisadi Mkapa, Kikwete na Magufuli.

mara kwa mara sauti yake ktk hotuba ile hunirudia kichwani,na hapo ndipo unaona ouvu wa nyerere. Yule mzee alikuwa mtu mbaya sana,Huyu magu ni zAo la katiba yake
 
Hapo unasikia influence ya vyote, kuanzia ujamaa wa kiafrika, western liberalism, Fabian Society debates, John Stuart Mill.

Mkazi wa sasa wa Magogoni hata kumjua John Stuart Mill anamjua?
 
"Katiba hii imenipa madaraka makubwa sana, ipo siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na atakuwa kama Mungu."

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
23 Februari 1982.
yametimia
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nyerere alikuwa na mapungufu yake lakini hakuibia Watanzania au kufanya ufisadi dhidi ya a Watanzania wa hata senti moja ukilinganisha na wote waliokuja baada yake.

Basi Kikwete nae alikuwa na mapungufu yake lakini hakuleta ukandamizaji wa raia kama Nyerere na Magufuli.

Huwezi kumsifia mtu eti kwa vile hakuiba. Hakutakiwi kuiba!

Okay, hakuiba. Lakini alikuwa dikteta mbishi, hataki kuambiwa. Watu wana njaa, masikini wa kutupa yeye anatazama nje ya nchi, anataka kujiingiza mavita yote ya sub saharan Afrika, mpaka bifu la Nigeria na Biafra Nyerere aka stick his nose in there... miaka 25 ya utawala wake njia zote nchini vumbi na tope tupu, safari ya Dar Singida siku tatu. Petroli mgao, unga mgao, umeme mgao, maji mgao, tena unga wa yanga, tumepewa na Reagan, nchi nzima radio moja, chama kimoja, university moja, bureau de change moja, mgombea urais mmoja ... Khaaaa!

Nyerere's presidency was an epic disaster. Kununua gari mpaka kibali cha Ikulu! Jesus Christ!
 
Kwa uhakika kabisa, vizazi vijavyo vitamuona Magufuli shujaa wakati tunaoiona shughuli hatutamuona hivyo, kama wengi tunavyomchukulia Nyerere wakati waliokua kwenye umri wa kung'amua mambo wanamuona anakuzwa mno.
 
KAMWE hakuna ushabihiano wowote ule wa mabaya aliyoyafanya Baba wa Taifa katika miaka 23 aliyokaa madarakani na miezi hii 19 ya awamu hii iliyojaa chuki za kutisha na vitisho na ni kichekesho cha hali ya juu kutaka kulinganisha mabaya ya Mwalimu na huyu fisadi mpiga madili.

Mgao wakati wa mwalimu kwa wale ambao walikuwepo wakati huo ulisababishwa na umaskini wa nchi kumbuka wakati huo rasilimali zetu nyingi zilikuwa hazijaanza kuvunwa, lakini Mwalimu pamoja na kuwa kiongozi wakati huo wa shida hakutumia wadhifa wake kujitajirisha yeye na familia yake kwa njia za haramu bado aliishi katika maisha ya kawaida kabisa.

Miaka hii hakuna mgao lakini je kiwango cha Watanzania wengi kimaisha kimepanda? Shule zetu nyingi zina hadhi ya kuitwa shule? Hospitals zetu zina vifaa muhimu, madaktari na madawa vile ambavyo inastahili? Wafanyakazi wanaridhika na viwango vyao vya mishahara? Kilimo chetu kina mabadiliko yoyote ukilinganisha na enzi za Mwalimu? Wafanyabiashara nchini wanaridhika na mfumo wa biashara nchini? Wiki chache tu zilizopita kulikuwa na habari kwamba wafanya biashara chungu nzima nchini wameamua kufunga biashara zao kufuatia kuanguka kwa biashara nchini?

Utamlaumu Mwalimu na mabaya yake lakini bado mabaya ya Mwalimu hayawezi kabisa kufananishwa na mabaya ya wezi na mafisadi waliojivisha ngozi ya uongozi baada ya yeye kuondoka madarakani.

Basi Kikwete nae alikuwa na mapungufu yake lakini hakuleta ukandamizaji wa raia kama Nyerere na Magufuli.

Huwezi kumsifia mtu eti kwa vile hakuiba. Hakutakiwi kuiba!

Okay, hakuiba. Lakini alikuwa dikteta mbishi, hataki kuambiwa. Watu wana njaa, masikini wa kutupa yeye anatazama nje ya nchi, anataka kujiingiza mavita yote ya sub saharan Afrika, mpaka bifu la Nigeria na Biafra Nyerere aka stick his nose in there... miaka 25 ya utawala wake njia zote nchini vumbi na tope tupu, safari ya Dar Singida siku tatu. Petroli mgao, unga mgao, umeme mgao, maji mgao, tena unga wa yanga, tumepewa na Reagan, nchi nzima radio moja, chama kimoja, university moja, bureau de change moja, mgombea urais mmoja ... Khaaaa!

Nyerere's presidency was an epic disaster. Kununua gari mpaka kibali cha Ikulu! Jesus Christ!
 
Mkuu mtu haonekani shujaa kwa kudharau sheria na taratibu za nchi, kuidharau katiba ya nchi, kutumia pesa chungu nzima bila idhini ya Wabunge na kuwa na chuki kubwa kwa wale anaowaongoza kutoa vitisho kila kukicha hata kujadili tu uwepo wa njaa nchini tamko la vitisho lilitolewa kwamba yeyote atakayefanya hivyo atakamatwa.

Kwa uhakika kabisa, vizazi vijavyo vitamuona Magufuli shujaa wakati tunaoiona shughuli hatutamuona hivyo, kama wengi tunavyomchukulia Nyerere wakati waliokua kwenye umri wa kung'amua mambo wanamuona anakuzwa mno.
 
Mkuu mtu haonekani shujaa kwa kudharau sheria na taratibu za nchi, kuidharau katiba ya nchi, kutumia pesa chungu nzima bila idhini ya Wabunge na kuwa na chuki kubwa kwa wale anaowaongoza kutoa vitisho kila kukicha hata kujadili tu uwepo wa njaa nchini tamko la vitisho lilitolewa kwamba yeyote atakayefanya hivyo atakamatwa.
Kuna kesi za Nyerere kuweka watu detention wakati mwingine alienda zaidi ya mamlaka yake yalivyomtaka.
Mfano alitoa detention mtu arudishwe Znz, lakini mamlaka ya raisi wa Tz bara yanaishia Tanganyika.

Kitu ambacho Nyerere hakufanya ni kujitajirisha, hili nakubalia asilimia mia, vingine kukubali kwake ni mpaka nirudi kwenye vitabu (enzi zake sikua na umri wa kujielewa)

Ingawa tukiwa fair ni kua, Nyerere alikua anapambana na kuhakikisha hapinduliwi nchi haiingii kwenye machafuko, alitakiwa kuhakikisha uchumi unapanda na kumuwezesha kila raia. Tofauti na viongozi wa baadaye ambao hawakua na magumu kama yale lakini hawajafikia malengo kisa ni kutaka kujilimbikizia mali.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndiyo nimesema Mwalimu alifanya mabaya hata yeye mwenyewe alisema hadharani. Hata kunyonga watu pia waliohukumiwa kunyongwa alilifanya na ikafika mahali akagoma kuweka mkono wake ili watu wanyongwe. Pamoja na hayo bado mabaya ya Mwalimu KAMWE hayawezi kabisa kufanananishwa na hawa wezi na mafisadi ambao nao pia wanaweka watu detention.

Alijitahidi sana kupandisha uchumi lakini Kwenye nchi maskini kupandisha uchumi si kazi rahisi hasa ukitilia maanani ufinyu wa mapato yako. Na mikopo ya masharti toka IMF na WB kama vile kushusha thamani ya shilingi Mwalimu aliyakataa kwa sababu yeye aliona ni kuongeza mzigo wa gharama za maisha kwa Watanzania, na hadi hii leo ukiwauliza akina Mkapa na wengineo waliokubali masharti mbali mbali ya IMF na WB ikiwemo kushusha thamani ya shilingi ili kupatiwa mikopo iliyoitwa nafuu Tanzania na Watanzania tulifaidika vipi na mikopo hiyo nafuu wanaishia kung'aa macho.

Kuna kesi za Nyerere kuweka watu detention wakati mwingine alienda zaidi ya mamlaka yake yalivyomtaka.
Mfano alitoa detention mtu arudishwe Znz, lakini mamlaka ya raisi wa Tz bara yanaishia Tanganyika.

Kitu ambacho Nyerere hakufanya ni kujitajirisha, hili nakubalia asilimia mia, vingine kukubali kwake ni mpaka nirudi kwenye vitabu (enzi zake sikua na umri wa kujielewa)

Ingawa tukiwa fair ni kua, Nyerere alikua anapambana na kuhakikisha hapinduliwi nchi haiingii kwenye machafuko, alitakiwa kuhakikisha uchumi unapanda na kumuwezesha kila raia. Tofauti na viongozi wa baadaye ambao hawakua na magumu kama yale lakini hawajafikia malengo kisa ni kutaka kujilimbikizia mali.
 
Mwl. Nyerere hakuona udikteta wake lakini alikuwa mzuri kuona udikteta wa watu wengine.

Nchi alikuta ina vyama vingi lakini akafuta na alipoondoka akashinikiza vianzishwe.

Wakati wa utawala wake, Mtu unaenda kupiga kura unapewa fursa ya kuchagua sura ya Mwl. Nyerere au kibox kilichowazi ambacho kimewekewa alama ya kosa au hapana.

Alikuwa kila akitembelea maeneo fulani ilikuwa tunalazimishwa tufunge biashara zetu ili tuende kumsikiliza na kama ukikataa mali zako zinachukuliwa na unatupwa gerezani.

Waliokuwa wanajaribu kumpinga walijikuta wakitupwa magerezani au iliwabidi waikimbie nchi na kuwa wakimbizi.

Pamoja na udikteta wake lakini ni kiongozi pekee ambaye anapendwa na kuheshimiwa na wengi nchini Tanzania.

Ninawashangaa wanaopiga kelele kupinga udikteta halafu kwa ujinga wao wanatumia mifano ya Mwl. Nyerere ambaye alikuwa dikteta kiasi kwamba alitaka kupinduliwa zaidi ya mara tatu.

Kwa maana nyingine, udikteta sio hoja nchini na kama ingekuwa ni hoja basi Mwl. Nyerere asingekuwa anaheshimika na kupendwa na wengi nchini.
Mwendawazimu wewe
 
Back
Top Bottom