Maneno ya Mungu kwenye biblia yanasema kama unataka kuepuka matatizo Usioe ama kuolewa. Kwa nini Mungu aone ndoa inaleta matatizo ?

Maneno ya Mungu kwenye biblia yanasema kama unataka kuepuka matatizo Usioe ama kuolewa. Kwa nini Mungu aone ndoa inaleta matatizo ?

Mungu ameshauri watu wasioe / kuolewa ili kuepuka matatizo kwenye kitabu chake kinachoitwa biblia

1 Wakorintho 7:27-28 inasema

Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, wala hujatenda dhambi. Na msichana ambaye hajawahi kuolewa akiamua kuolewa, hajafanya dhambi.

Lakini wale wanaooa au kuolewa wajue watakutana na matatizo katika maisha haya, nami nataka kuwaepusha na matatizo hayo.

Swali , kwa nini Mungu aseme hivyo?

Mwongo mkubwa umbwa ya mtaani pinga kristo.
1 Wakorintho 7:27-28
27

<Je, umeolewa? Usitafute kuachana. Je, umepata mke? Usimtafute mzalendo.>
28 Lakini ikiwa ukiachana, si dhambi; na ikiwa mtu hawezi kuhimili, aoe. Kwa maana ni bora kuolewa kuliko kuwa na moto.
 
Biblia haina maana kuwa kila andiko linalo patikana humo ni neno la Mungu,
Yapo maneno ni ya Mungu mwenyewe na mengine yalikuwa ni maneno ama shauri za mitume tu na waandishi wa vitabu,
Usijibizane kabla huja hakiki andiko kiongozi huo ni upuuzi pia.

Hilo andiko kaliongopa halipo hivyo.
Acha ukipofu.
 
Paulo ni Mungu?
Usijibizane kabla huja hakiki andiko kiongozi huo ni upuuzi pia.

Hilo andiko kaliongopa halipo hivyo... na hakuna sehem biblia imesema hivyo.

Acha ukipofu.
 
Sio rahisi kuishi na mtu ambaye kakununia bila sababu, na inashtua sana moyo kugundua unagongewa na inabidi usamehe maana ni mkeo wa ndoa. Ndio maana mwamba akasema ukiweza kukaa bila kuoa kausha tu usioe,
Usijibizane kabla huja hakiki andiko kiongozi huo ni upuuzi pia.

Hilo andiko kaliongopa halipo hivyo... na hakuna sehem biblia imesema hivyo.

Acha ukipofu
 
Kwasababu mungu wa kwenye biblia ni dhaifu ana sifa za kibinadam ana familia yeye anaitwa mungu Baba na ana mtoto wake anaitwa mungu mwana, inawezekana mapenzi yalimtesa
Acheni mzaha na biblia huo mstari haupo kwenye Bible
 
Usijibizane kabla huja hakiki andiko kiongozi huo ni upuuzi pia.

Hilo andiko kaliongopa halipo hivyo... na hakuna sehem biblia imesema hivyo.

Acha ukipofu.

Uache ujinga na wewe, Hata ka kalikosea, Kuna andiko linaloelezea hiyo scenario, hata kama mtu anakosea, Kuna concept anayoielezea ambayo ina Mashiko, sasa wewe endelea kutafuta makosa ya watu hata kama wana hoja, kenge, Peleka ulokole wa kifala, Mbwira wewe
 
Hivyo huwa wanatudanganya kusema biblia ni neno la mungu ?
Acha ufala mwanangu
Huo mstari amekupa bibi ako unataka kusema upo kwenye Bible.

H anisi wa akuli mpaka macho. Unajua kuandika post JF ila kusoma vifungu unavyo vi quote huwezi.
H a n I s I wewe.
 
Hili nalo ni mpaka liwe na mjadala?

Hiyo sura ya 7 ya kitabu Cha Wakorintho ni namna ambavyo Paulo alikuwa akishauri watu !

Siyo kwamba kutokuoa ni dhambi na Wala walioa ni watakatifu kuliko ambao hawajaoa !

Alichosema ni kwamba,kama utaishinda tamaa ya ngono basi ni vema usioe,lakini kama hujaoa na bado unaendelea kushiriki katika zinaa ni vema ukaona maana ni vema kuoa kuliko kuwaka tamaa !

JESUS IS COMING AGAIN

Get prepared
Acha kuwa mbish kipofu.
Nao huo ni upumbavu.

Mstari unaoutetea haupo mahala pipote kwenye Bible.

Unakua shabiki maandazi na wala sio mkristo halisi.
Unateteq kila kitu hata upuuzi.

We umeahakiki mstari unaoutetea kwamba u asema hivyo kwenye Bible au ndo unaleta umaqndazi wako hadi huku JF ??

BIBLIA HAKUNA SEHEM IMEANDIKA MTU ASIOE.
 
Yaan. Wewe uloandika huu uzi ni fala.

Umenichefua sana kupindisha maandiko ya biblia by quotation. Kwa maslahi yako binafsi.

Ke n d e, za chura wewe.

Jina lenyewe MKATA KIU upuuzi mtupu kujifanya unaijua biblia.
 
Mimi Naona Ulikuwa ni mtazamo wa Paulo nao akawiwaa alishirikishe kanisaa la korinthoo na atakuwa alikuwa na sababu zake ambazo pia ni njema TU kwahiyo halijasimama kama Sheria
Tunachojua MUNGU alishasema kwenye kitabu Cha mwanzo2:18 si vema mtu huyu akawa peke yake ndipo akamuumba mwanamke na kama isingekuwa vyema kuishi na mwenza Mungu angeumba jinsia Moja TU Toka mwanzoo wa ulimwenguu
 
Nitaweka sawa juu ya hilo
Mwenye uzi umekata maandiko
Iko hivi
Nanukuu

1 Wakorintho 7:27-28 (Biblia Habari Njema - BHN):

27 Kama umeoa, usijaribu kuachana na mke wako. Kama hujaoa, usitafute mke.
28 Lakini kama utaoa, hiyo si dhambi. Na kama msichana akiolewa, hiyo si dhambi pia. Hata hivyo, watu kama hao watakumbana na matatizo ya maisha, nami ningependa kuwapunguzia matatizo hayo.
Ufafanuzi juu hilo
Kuoa au kuolewa si dhambi kabisa.

Lakini walio kwenye ndoa watakumbana na changamoto mbalimbali za maisha.

Paulo anapendekeza (siyo amri) watu wabaki bila ndoa ili wapate nafasi ya kuishi maisha ya kiroho bila matatizo mengi ya kidunia.
 
Acha kuwa mbish kipofu.
Nao huo ni upumbavu.

Mstari unaoutetea haupo mahala pipote kwenye Bible.

Unakua shabiki maandazi na wala sio mkristo halisi.
Unateteq kila kitu hata upuuzi.

We umeahakiki mstari unaoutetea kwamba u asema hivyo kwenye Bible au ndo unaleta umaqndazi wako hadi huku JF ??

BIBLIA HAKUNA SEHEM IMEANDIKA MTU ASIOE.
Mkuu acha Matusi,Matusi si sehemu ya hoja!

Kaa chini urudie Kusoma tena nilichomjibu mleta mada !

Hakuna mahali nimeandika ya kwamba Biblia imezuia watu wasioe !
 
Usijibizane kabla huja hakiki andiko kiongozi huo ni upuuzi pia.

Hilo andiko kaliongopa halipo hivyo... na hakuna sehem biblia imesema hivyo.

Acha ukipofu
Andiko lipo mkuu, labda kwenye bible ambayo wewe unayo ndio halipo.
 
Mkuu acha Matusi,Matusi si sehemu ya hoja!

Kaa chini urudie Kusoma tena nilichomjibu mleta mada !

Hakuna mahali nimeandika ya kwamba Biblia imezuia watu wasioe !
Kanikerq.

Nimeudhika kuona watu wamedondokea mtego wake.

Kama sio mkristo aachie biblia wakristo.
 
Kama Mungu hakutaka ndoa wewe na mimi tusingekuwepo.Alimuumba Eva awe mwenzi wa Adamu wawe mwili mmoja na kiroho pia.Lakini baada ya kumwasi Mungu nidhamu ya kuwa wamoja ikatoweka ndo Mtume paulo akawa akishauri watumishi wanaoshindwa kuishi kitakatifu waoe kukimbia zinaa.

Je watoto wote huwa wanazaliwa kwenye ndoa?

Hata wanyama pia wanazaa, je huwa wanafunga ndoa?

Tukuulize na wewe Bila wale mababu zako waliozaliana miaka na miaka bila ndoa za kidini. kabla wakoloni hawajaleta africa dini na biblia , je wewe ungekuwepo duniani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom