Maneno ya Mungu kwenye biblia yanasema kama unataka kuepuka matatizo Usioe ama kuolewa. Kwa nini Mungu aone ndoa inaleta matatizo ?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,481
Reaction score
8,582
Mungu ameshauri watu wasioe / kuolewa ili kuepuka matatizo kwenye kitabu chake kinachoitwa biblia

1 Wakorintho 7:27-28 inasema

Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, wala hujatenda dhambi. Na msichana ambaye hajawahi kuolewa akiamua kuolewa, hajafanya dhambi.

Lakini wale wanaooa au kuolewa wajue watakutana na matatizo katika maisha haya, nami nataka kuwaepusha na matatizo hayo.

Swali , kwa nini Mungu aseme hivyo?
 
Hili nalo ni mpaka liwe na mjadala?

Hiyo sura ya 7 ya kitabu Cha Wakorintho ni namna ambavyo Paulo alikuwa akishauri watu !

Siyo kwamba kutokuoa ni dhambi na Wala walioa ni watakatifu kuliko ambao hawajaoa !

Alichosema ni kwamba,kama utaishinda tamaa ya ngono basi ni vema usioe,lakini kama hujaoa na bado unaendelea kushiriki katika zinaa ni vema ukaona maana ni vema kuoa kuliko kuwaka tamaa !

JESUS IS COMING AGAIN

Get prepared
 
Kwa hiyo biblia sio maneno ya Mungu? Ni maneno ya watu tu , wamesema wanachojisikia?
 
Hakuna maneno ya Mungu hapo, vitabu vingi vimechakachuliwa na wazungu kwa lengo la kuharibu kizazi; ndio maana baadhi ya me wanatabia za kike, na ke wanaoana wao kwa wao.
 
Hivyo huwa wanatudanganya kusema biblia ni neno la mungu ?
 
Kwasababu mungu wa kwenye biblia ni dhaifu ana sifa za kibinadam ana familia yeye anaitwa mungu Baba na ana mtoto wake anaitwa mungu mwana, inawezekana mapenzi yalimtesa
 
Mungu ameshauri watu wasioe / kuolewa ili kuepuka matatizo kwenye kitabu chake kinachoitwa biblia

1 Wakorintho 7:27-28 inasema

Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, wala hujatenda dhambi. Na msichana ambaye hajawahi kuolewa akiamua kuolewa, hajafanya dhambi.

Lakini wale wanaooa au kuolewa wajue watakutana na matatizo katika maisha haya, nami nataka kuwaepusha na matatizo hayo.

Swali , kwa nini Mungu aseme hivyo?
Kama Mungu hakutaka ndoa wewe na mimi tusingekuwepo.Alimuumba Eva awe mwenzi wa Adamu wawe mwili mmoja na kiroho pia.Lakini baada ya kumwasi Mungu nidhamu ya kuwa wamoja ikatoweka ndo Mtume paulo akawa akishauri watumishi wanaoshindwa kuishi kitakatifu waoe kukimbia zinaa.
 
Mungu ameshauri watu wasioe / kuolewa ili kuepuka matatizo kwenye kitabu chake kinachoitwa biblia

1 Wakorintho 7:27-28 inasema

Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, wala hujatenda dhambi. Na msichana ambaye hajawahi kuolewa akiamua kuolewa, hajafanya dhambi.

Lakini wale wanaooa au kuolewa wajue watakutana na matatizo katika maisha haya, nami nataka kuwaepusha na matatizo hayo.

Swali , kwa nini Mungu aseme hivyo?

Paulo ni Mungu?
 
Biblia haina maana kuwa kila andiko linalo patikana humo ni neno la Mungu,
Yapo maneno ni ya Mungu mwenyewe na mengine yalikuwa ni maneno ama shauri za mitume tu na waandishi wa vitabu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom