Maneno ya kejeli ya mume wangu

Simama kwenye nafasi yako kama mwanamke.Zidisha upendo hata kama yeye hana upendo na wewe.Atabadilika tu!
 
Dada yangu huyo baba hata ukifanikiwa kupata mtoto haitabadili kitu labda itatuliza hali baada ya mda atarudia tu, nakushauri simama jikaze anza mbele hiyo ni tabia yake ndo maana hata hao mahawara zake wanamkimbia na hao ma ex zake hakuwaoa.Ni ngumu kumbadili mtu tabia yake tena ukizaa ndo utajuta maana utafikiria wanao utashndwa kutoka kwenye mateso hayo fanya maamuz sahihi mapema. Kamwe huwez kubadili chuma kikawa plastic.
 
Mwanzo 3:14-16, matatizo hayaanzi machoni hapa au kwenye ubongo, yanaanza katika ulimwengu wa kiroho, mtu asipotambua hilo hawezi elewa na anaweza akaomba yote hayo na kwa imani akayapata kasoro ya adui yake anayemletea matatizo kugeuka kuwa rafiki
 
Me nashindwa kabisa kuelewa yaani toka nianze kujitambua sijawahi kupata furaha ya moja kwa moja kila kitu duniani kimejaa mauzi na karaha tupu..Binadamu kuzaliwa hadi kufa anahangaika kutafuta furaha na amani ya moyo tu!
 
Unamaanisha nini? wengine sio waandishi wazuri wa kiswahili kwa hiyo uniwie radhi kama lugha ni mbovu.

Usijali mkuu nilikuwa najaribu tu kumuelewesha mdau hapo juu!
 
Me nashindwa kabisa kuelewa yaani toka nianze kujitambua sijawahi kupata furaha ya moja kwa moja kila kitu duniani kimejaa mauzi na karaha tupu..Binadamu kuzaliwa hadi kufa anahangaika kutafuta furaha na amani ya moyo tu!

r u for real!???
 
moyo wako ndiyo unajua umevumilia kiasi gani na kias gani kimebaki... kama unataka mtu wa kukuzika na huna wengine vumilia tu.. maisha yapo zaidi ya hayo ya ndoani... kinachowasumbua nikutokuwa na mtoto .. ila kuna njia kadhaa za kupata mtoto
 
Me nashindwa kabisa kuelewa yaani toka nianze kujitambua sijawahi kupata furaha ya moja kwa moja kila kitu duniani kimejaa mauzi na karaha tupu..Binadamu kuzaliwa hadi kufa anahangaika kutafuta furaha na amani ya moyo tu!
ujaitaka furaha ndiyo maana
 
nimeumia sana sana sana sanaaaa nimepitia situation kama ya kwako hakika inaumiza sanaaa ila mimi niliondoka bcz maisha ni all about happyness and peace and love and being free ingawa kuanza upya ni kugumu sanaaa kuna umiza mnooo utajikuta unatembea na watoto wadogo bila kujua au unatembea na mijizee utaona hurizishwi utafeel vurugu zoote huko nje lkn kuishi kwenye jela ya mapenzi ni ngumu bcz ukiwa free ukiona huyu hakufai u let him go poleee pole sana kama unafikiri u can fight fight for him lkn kama unaona huwezi let him go and let in God
 
Nacherewa

aisee mie napenda wanawake wa kufanya nao sex ni Pm plz
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…