Maneno ya Juma Duni Kwa CHADEMA

Jamani Mods fungueni sub forum ya Zanzibar na Tanzania Bara mtupunguzie kupoteza muda kwenye thread zisizotuhusu baadhi yetu.
 
Hello!! Ulilenga Kuleta Mada Nzur Ila Ushabiki Wa Chama Kilicho Kufa Kama CUF Ndo Umehalibu Point Zako Zote Cuf Ya Jana Na Ya Leo Kuna Tofaut Kubwa Kipindi Cuf Wapo Katka Chat Kama Chama Kikuuu Cha Upinzani Walijisahau Kujenga Chama Badala Yake Walilpana Fedha Nying Viongz. Mf Kila Deleva Wa CUF Alikuwa Akitoka Nje Ya Dar Analipwa Laki 7. Ndo Maana Hakuna Deleva Wa Cuf Alie Juta Kuona Cuf Ina Kufa Hongereni Chadema Kwa Kujenga Chama Kila Siku!!
 
mimi siamini kama hizi articles zina uhusiano wowote na Juma Duni Haji na Seif S Hamad!

Kosa la CDM, kuwasema kuwa CUF ni CCM B, ni dogo saana zaidi ya kosa la CCM kuwauwa na kuwakimbiza CUF nchini mwao mpaka wakawa wakimbizi!

Hapa naona TISS wanafanya homework vizuri, japo kwa miaka hii kuna watu wana intelijensia ya juu zaidi hata ya MOSAD!

Kwahiyo, wana CUF, CDM na NCCR, kuweni macho na mnachohangia, lengo la msingi ni katiba bora, dont pervert from that kwa kuchonganishwa a TISS, ambao wengi wao hawawazidini akiri wengi wenu, kuweni macho and mnajua adui wenu ni nani ambaye bahati mbaya anavyo vyombo vingi vya propaganda!
 
tutapambana na wanyonyaji (ccm) mpaka kieleweke---hakuna kitakachoturudisha nyuma katika hili. wapinzani oyeeeeeeeeeeee!!!!!!!
 
mwanasheria wa serikali katika kesi za mnyika na lissu alikuwa anitetea serikali kwani ilikuwa mdaiwa namba 2 kwenye mashauri hayo,tusipoteze ukweli. Hivi ni nani mwehu kiasi hicho kuamini Jaji Werema anaweza kumtetea Lissu?:doh:
 

Sasa wewe uliye muungwana, unayechukia uongo na uchafu mwingine unawezaje kudai kuwa kiongozi mwenzako ni mbakaji bila ushahidi wowote?

Amandla......
 
taarifa hii imeandaliwa mtaa walumumba kwa ushirikiano mkubwa wa wabemendaji wa ktba mpya.....ccm
 
Boko haram,

..makala uliyoileta ni ya zamani kidogo.

..sasa hivi mambo yamebadilika.

..CDM, na CUF, wote wanaunga mkono mfumo wa serikali 3.

..sioni kwanini vyama hivyo visishirikiane wakati huu wa mjadala wa rasimu ya katiba mpya.
 
Last edited by a moderator:
ulichelewa kuwajibu hawa watu @ juma duni
 
Ni vizuri vyama hivi vishirikiane juu ya kupatikana katiba mpya! Lakini visiungane, kwa maneno ya huyu muumini wa kizanzibar tanzania hauwezi kutokea muungano wa dhati wa vyama!
 
cuf naona mnajikanyaga, jana mmewashutumu prof lipumba na julius mtatiro eti wamehongwa, na yote ni baada ya wao kulaani kitendo cha naibu spika kwa kub freeman mbowe

leo, kabla tamko la maalim seif halijajibiwa na prof lipumba na mtatiro limetoka lingine,

hii yote ni kutapatapa juu ya mstakabali wenu, kuna viashiria vingi vya anguko la cuf 2015 inawatesa sana, wazanzibari wengi wanalalamikia juu ya ukubwa wa baraza la mawaziri, juu ya ukubwa wa serikali, nyinyi kuingia kwenye suk hakujaleta unafuu

chadema tunatamani kuikamata zanzibar ila sio kama tunavyoitamani tanganyika, siasa zenu mbovu zimepelekea mkose credit huku bara kila siku mnarudi nyuma mlikuwa na nguvu bukoba sasa imenywea mlikuwa na nguvu dar sasa imenywea

kilichobaki ni nyinyi kujiingiza kwenye midundo ya chadema ili nanyi muonekane mnajua kucheza
 
kati ya juma duni haji na wewe nani anahukumu?
 
Mtoa mada rejea kauli ya mnyaa, bila shaka maneno hayo alisema duni kitambo kabla ya haya yanayotokea sasa, hakuna adui wa kudumu au rafiki wa kudumu katika siasa.

Tunajua magamba mmeshaanza kuogopa hizi dalili za mashirikiano ya vyama vya siasa, hivyo sasa mmeanza kututia fitana kwa kutuletea maneno ya yliyotamkwa na akina duni huko nyuma,,,katu hayana nafasi,,,naomba chadema, nccr na cuf wafikirie namna ya kuunganisha nguvu 2015 ili magamba muweze kuumbuka.
 
Boko haram,

..makala uliyoileta ni ya zamani kidogo.

..sasa hivi mambo yamebadilika.

..CDM, na CUF, wote wanaunga mkono mfumo wa serikali 3.

..sioni kwanini vyama hivyo visishirikiane wakati huu wa mjadala wa rasimu ya katiba mpya.
Mkuu hii hoja nimeileta kuuliza huu muungano ni unafiki? na mimi nitazidi kuamini ni unafiki kwasababu
sasa hivi hakuna chaguzi yoyote ndio maana unaona hayo ngoja ifike kipindi cha uchaguzi ndio utaona
huo unafiki ambao mimi ninaamini ndicho kinacho endelea sasa hivi.
 
CUF huwa siwakubali ila kwa hili, Jiti la Duni limegonga Rectum ya Chadema, ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikal ya CCM (AG) kawatetea Tundu Lissu na Mnyika mpaka wameshinda kesi ya Uchaguzi ila hawalitangazi hili!

mkuu songoro duni haji kweli ni duni kichwani. anahoji eti mnyika na lisu wametetewa na AG wa ccm! huyu waziri anajua sheria kweli au kipofu?

lisu na mnyika waliposhitakiwa wao wanakuwa ni washitakiwa wa kwanza, AG anakuwa wa pili na msimamizi wa uchaguzi anaweza kuwa wa tatu inategemea na wafunguaji wa shauri husika. pale shitakani AG anatetea utaratibu uliomweka madarakani mbunge husika aliyeshitakiwa lakini sio kuwa anawatetea hao wabunge. AG anakuwa pale kuitetea sheria iliyowapa ubunge. huyo waziri duni kweli na nimemdharau sana.
 

je unakubaliana na mimi kuwa chdm ilikosea kuwatenga cuf na nccr ktk serikali ya upinzani bungeni?
 
Baregu endelea kula hiyo mihela ya katiba coz ni njia ya jk kujikomba kwako si unajua alichokufanyia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…