Maneno ya Juma Duni Kwa CHADEMA

Maneno ya Juma Duni Kwa CHADEMA

CUF huwa siwakubali ila kwa hili, Jiti la Duni limegonga Rectum ya Chadema, ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikal ya CCM (AG) kawatetea Tundu Lissu na Mnyika mpaka wameshinda kesi ya Uchaguzi ila hawalitangazi hili!

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu huijawahi kumtetea Lissu wala Mnyika!
Ofisi hiyo ni sehemu ya mshitakiwa!
Mshitakiwa hawezi kumtetea mshitakiwa mwenziye!
CHADEMA walijitetea wenyewe, na AG alijitetea mwenyewe!
Au una maoni gani kwenye zile kesi ambazo CHADEMA huwa inapoteza?
E.g: Sumbawanga Mjini, Igunga?
 
Kwa political realm ya Tanzania, kama hakuna mshikamano katika vyama vya upinzani nchini, CCM itaendelea ku-set agenda za kitaifa na vyama vya upinzani vitaendelea kuzifuata hizo ajenda bila kujari kama wanazipenda au hawazipendi.

Kama vyama vikuu vya upinzani bara na visiwani haviwezi hata kuwa na common ground kwenye maswala ya Kitaifa basi hii ni ishara inayojitosheleza kwa vyama hivi kuendelea kubakia wapinzani.

2014 is not far!.
 
Kama Duni anayo hoja kuhusu CCM B, angewaalika viongozi wa CDM kwenye mdahalo. Haya mambo ya kuhutubia hata siku moja sinunui sera zake
 
juma duni haji ana hoja ngoja nisubiri vihoja badala ya hoja.

hivi kunatofauti gani kati ya juma duni na mwigulu nchemba, maana wote wana laana za damu za watu kutokana na mauaji ya watu waliofanya, leo hii wamejibanza ndani ya serikali na kujifanya ni watu safi. Wote wananuka damu za watu.
 
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu huijawahi kumtetea Lissu wala Mnyika!
Ofisi hiyo ni sehemu ya mshitakiwa!
Mshitakiwa hawezi kumtetea mshitakiwa mwenziye!
CHADEMA walijitetea wenyewe, na AG alijitetea mwenyewe!
Au una maoni gani kwenye zile kesi ambazo CHADEMA huwa inapoteza?
E.g: Sumbawanga Mjini, Igunga?

'...mshtakiwa hawezi kumtetea mshtakiwa mwenziye...' mahakamani hakuna kiingilio jipeleke walau siku moja uje uombe Radhi, Mwanasheria mkuu na Mshindi wa uchaguzi wote wako pale kuthibitishia mahakama kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki ili matokeo yasitenguliwe halafu wewe unaleta Siasa kwenye sheria au kinachowatatiza ni neno 'kutetea' mpaka mkadhani kutetea ni mpaka uwe wakili wa Mshtakiwa?.
 
hivi kunatofauti gani kati ya juma duni na mwigulu nchemba, maana wote wana laana za damu za watu kutokana na mauaji ya watu waliofanya, leo hii wamejibanza ndani ya serikali na kujifanya ni watu safi. Wote wananuka damu za watu.

maelezo yako hata kama yatakuwa Kweli tupu lakini hayajibu hoja yake, Haya tupe majibu ya hoja yake!
 
Tatizo kina dr Slaa wakikuta maneno ya wajf' kama vile cuf ni ccm b wanayabeba na kusimama majukwaani.
 
'...mshtakiwa hawezi kumtetea mshtakiwa mwenziye...' mahakamani hakuna kiingilio jipeleke walau siku moja uje uombe Radhi, Mwanasheria mkuu na Mshindi wa uchaguzi wote wako pale kuthibitishia mahakama kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki ili matokeo yasitenguliwe halafu wewe unaleta Siasa kwenye sheria au kinachowatatiza ni neno 'kutetea' mpaka mkadhani kutetea ni mpaka uwe wakili wa Mshtakiwa?.

Nipe uelewa mkuu!
Itatokea nini ikiwa mshitakiwa muambata na AG (mf. Lissu, Mnyika)asipoweka mtetezi?
Aweza kushinda kesi kwa ushahidi wa ofisi ya AG?
 
CUF huwa siwakubali ila kwa hili, Jiti la Duni limegonga Rectum ya Chadema, ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikal ya CCM (AG) kawatetea Tundu Lissu na Mnyika mpaka wameshinda kesi ya Uchaguzi ila hawalitangazi hili!

Ametetea weredi wake si CDM, sikumbuki kama CDM wamewahi kwenda kuomba msaada kwa mwanasheria wa serikali. Sasa unataka CDM wamtangaze kwa lipi? kwamba ametimiza wajibu wake au kivipi yaani mbona ckuelewi?
 
Hiyo ni taarabu kama taarabu zingine tu! imekosa beat tu!!!,
 
Nipe uelewa mkuu!
Itatokea nini ikiwa mshitakiwa muambata na AG (mf. Lissu, Mnyika)asipoweka mtetezi?
Aweza kushinda kesi kwa ushahidi wa ofisi ya AG?

ushindi wa esi hautokani na wingi wa utetezi bali kwa Strength ya Ushahidi, kama Ushahidi wa AG utajibu kikamilifu hoja za walalamikaji kesi hiyo watashinda,
 
Ndugu Juma duni , tufanye hivi , wewe endelea na mchakato wa katiba mpya sisi tutaupinga .
 
Unauhakika gani?
...
Kama unauhakika saidia jeshi la polisi ili wanaohusika wachukuliwe sheria!

Wewe Juma Duni Haji uliwekwa kizuizini na mjoma wako Salimin Amoor wewe na wenzio mlizungumza mengi sana tuache hayo
Havi nyie mnaona dhambi ni uzinifu tu?
Si nyie CUF ndio mnasadikiwa mmemuuwa padiri kwa risasi ya moto, Je Juma Duni Haji unaona hiyo siyo dhambi ,dhambi ni kuzini tu?
Nyie CUF mmemwagia wazungu tindi kali mmeona hoyo dhambi dhambi ni kuzini tu
Nyie CUF jana mmemwagia padri tindikali, siyo dhambi dhambi ni kuzini tu,
Nyie CUF mbona mnakuwa kama wasomali ambao wana dini mmoja , lakini kuuwa hawaoni kama ni dhambi ila dhambi ni kunywa pombe tu
Juma Duni Haji akili zako ziko kwenye magoti,usihukumu watu na wewe utahukumiwa na unafiki wenu.
 
lazima cuf wagawanyike. Hawa wadogo wanapinga na wakubwa wao eg lipumba, mnyaa na mtatiro
 
Back
Top Bottom