Maneno ya Juma Duni Kwa CHADEMA

Maneno ya Juma Duni Kwa CHADEMA

CUF huwa siwakubali ila kwa hili, Jiti la Duni limegonga Rectum ya Chadema, ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikal ya CCM (AG) kawatetea Tundu Lissu na Mnyika mpaka wameshinda kesi ya Uchaguzi ila hawalitangazi hili!
Unachekesha sana kusema eti kuwa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali imewatetea Tundu Lissu na Mnyika mpaka wameshinda Ubunge, huu ni upumbavu kwani unaonekana hufahamu kuwa mwanasheria mkuu wa serikali naye alikuwa ni mshitakiwa katika kesi zote za uchaguzi. Mwanasheria mkuu wa serikali alikuwa anajitetea mwenyewe na ndio maana wabunge wote waliokatiwa rufaa walikuwa na jopo la wanasheria wao.
 
Mkuu hii hoja nimeileta kuuliza huu muungano ni unafiki? na mimi nitazidi kuamini ni unafiki kwasababu
sasa hivi hakuna chaguzi yoyote ndio maana unaona hayo ngoja ifike kipindi cha uchaguzi ndio utaona
huo unafiki ambao mimi ninaamini ndicho kinacho endelea sasa hivi.

..vipi kuhusu GNU kule Zanzibar?

..ukifanyika uchaguzi nini kitatokea?

..je, GNU nayo ni unafiki?

..mimi nadhani ungesema kinachoendelea ni SIASA, na ktk siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
 
Mi sijui ugomvi ni CUF, CDM na NCCR kutoka nje ya bunge ndo kinaleta gumzo au hofu ya kuwa huenda kweli wakaungana! Vinginevyo wanaolalamika na kutukanana humu wote si wasemaji wa vyama vyao. Duni sidhani kama ni sahihi kuwaza kuwa serikali ya chama fulani ikiwa madarakani basi na ofisi za serikali ni za chama hicho ... maana unataka kutuambia tukienda kutibiwa hospitali ya serikali tunatibiwa na CCM kwa vile ndo iko madarakani, mtaalam wa kilimo akija kutibu mazao yangu ni CCM imefanya naona ni hoja dhaifu kwa mtizamo wa maana ya serikali na vyanzo vya serikali vya kutoa huduma ... vinginevyo kila serikali ikiingia madarakani basi itafute kodi toka kwa wanachama wake ili itoze kodi na hapa ndipo udhaifu wa hoja yako ulipo zaidi achilia mbali kutumia maneno ya matusi mtu mkubwa namna hiyo...tuanze kuona aibu kwa mambo yanayotia aibu hata tukiwa wanasiasa.
 
Juma Duni Hajji,

Hoja yako imekaa sawa Chadema njooni mjibu.
Sidhani kama CHADEMA walijibu hoja hizi. Nadhani Juma Duni atazijibu yeye mwenyewe baada ya kuhamia CHADEMA
 
Wanasiasa hasa Mbowe sina hamu hao!! vigeugeu sana. Na watanzania ni wepesi wa kusahau
 
Wanasiasa wa bongo wanapenda kusikia mazuri yao na wala si mabaya yao, so, si CHADEMA wala Dunn aweza kujibu hayo...!
 
Mtaweweseka sana lakini safina tayari imeshang' oa nanga.Lowasa atawatesa na kuwajambisha sana mwaka huu
 
..hakuna cha kushangaza hapo.

..Usa na Iran sasa hivi wameungana kupambana na isis. Lakini kabla ya hapo walikuwa sworn enemies.

..cuf,nccr,nld,cdm, wameamua kusahau magomvi yao ya zamani na kuungana kuikabili ccm.

..wakulaumiwa hapa ni ccm. Wasingefanya uhuni ktk bunge la katiba sasa hivi kusingekuwa na habari ya ukawa.

Cc Boko haram, Ritz, Weston Songoro
 
Last edited by a moderator:
Tazama mambo mapya na mabadiliko mapya
 
cuf ni wadini sn. basi tu harakati za kisiasa zinalazimisha umoja wa katiba ya wananchi
 
Back
Top Bottom