Maneno ya Idriss Sultan Kwa Mrembo Jokate Mwegelo

Oct 4, 2016
49
81
d9494f51ce3711d00cdf5927a170b19c.jpg

Ndani ya miaka 5 she has done so much more than any celebrity in Tanzania kwenye jamii.

Naomba nihamishie upepo kwake kwa shukrani zote kwa yote aliyoyafanya kuinyanyua jamii ya watanzania na naomba msamaha kwa niaba ya watanzania kwani tulikua busy tunaangalia nani anatoka na nani na nani kagombana na nani na nani kaposti uchi leo, tukasahau kua umebadilisha maisha ya vijana zaidi ya laki 5 ndani ya miaka miwili tu.

Ingekua muamuzi ni mimi ungekua Forbes because ni celebrity pekee uliyesimamisha brand product yako kwa jina lako and yes African boy ya Jux inakuja pia. Uliyoyafanya kwenye jamii yako bila kulazimishwa ni zaidi ya baadhi viongozi tuliowachagua kufanya kazi hizo tunazowalipa kufanya.

If am allowed may I please say you are "THE FLOWER OF TANZANIA" if you ask me why its because you are beautiful and you make us smell good werevaa you go.

Kwa niaba ya watanzania ningependa kusema tumejisahau sana na tusamehewe. Stay beautiful .. cc: @jokatemwegelo [HASHTAG]#TheFlowerOfTanzania[/HASHTAG]


View attachment 480024https://mushkhani.wordpress.com/URL]
 
Shukrani zikuendee kwako bwana Sultani na hongera sana kwa kuliona hilo,

Hata mimi nilikua nawaza kwann waTZ wenye muono chanya hawauoni huu mchango wa Bi.Jokate kwa vijana???

Kujenga viwanja vya michezo na kuhamasisha michezo kwa vijana wetu ni jambo bora lenye kustahili pongezi na hamasa pia.

Go Jokate
Go The Flower of Tanzania.
 
Back
Top Bottom