Maneno ya busara kwa wanaume

Maneno ya busara kwa wanaume

Makonda aliangalie hili swali hawa omba omba hawana tofauti na wale wa barabarani sema wao wanafanya kidigital kidogo upitishwe mswada warudi vijijini kulima.
 
Ukioa ngozi ya kitimoto utapata taabu sana kwa kuishi kwa shinikizo la utamaduni tofauti na wa kwetu.

Mfano kuna jamaa mmoja mtanzania alioa mwanamke wa Sweden amezaa nae watoto watatu, wawili wa kiume na mmoja wa kike. Kijana wake wa kiume wa kwanza kuzaliwa ni shoga na mama yake na ndugu wote upande wa mama wanamsapoti ila baba hapendi. Hali hiyo imesababisha ugomvi na mgogoro mkubwa sana katika ndoa yao
Ushoga sio utamaduni wa jamii yeyote ile hapa Duniani, ni tabia ya mtu binafsi anyeishi ndani ya jamii fulani.
 
Ushoga sio utamaduni wa jamii yeyote ile hapa Duniani, ni tabia ya mtu binafsi anyeishi ndani ya jamii fulani.
Acha kupotosha ndugu. Wazungu wanasapoti ushoga kwa nguvu zote, Afrika bado mashoga wanapata taabu sana hawasapotiwi kama kwa wazungu
 
Acha kupotosha ndugu. Wazungu wanasapoti ushoga kwa nguvu zote, Afrika bado mashoga wanapata taabu sana hawasapotiwi kama kwa wazungu
Ushoga ni tabia ya roho ovu ni kama ulivyo wizi! Na ushoga unapata saport na wenyewe nguvu wa dunia kwa sababu wenyewe mungu wao ni Lucifer! Shetani anataka watu wa dunia hii wapotee kama yeye alivyo potea.
 
Acha kupotosha ndugu. Wazungu wanasapoti ushoga kwa nguvu zote, Afrika bado mashoga wanapata taabu sana hawasapotiwi kama kwa wazungu
Narudia tena kukwambia ushoga ni tabia na sio utamaduni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom