Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,144
Tatizo pesa tungeenda kuoa tuka achana na hizi tabu tunakula papuchi zao na bado wamezipaka limbwata la mikosi
ha ha ha ha,kwani mwanzoni wazazi mlikuwa mnawakatikia viuno
Nje ya Afrika hawana mambo ya ovyo kama hayoHuko ng'ambo ndio wanataka wanaume suruali? Hebu bakini nyumbani pamenoga
ha ha ha tatizo hadi majukumu aliyotakiwa kufanya baba yake na babu unakabiziwaKama ubavu wa mwanamke tu umetoka kwa wanaume mbona pesa kitu kidogo Sana?
Acheni uwoga bhana
ha ha ha kwa hiyo mume inabidi agaramie ukataji wa viuno;sasa kama viuno havizungushwi ipasavyoTulikuaa under 18 ni jukumu lao kimazoea na kisheria pia
Baada ya hapo ni jukumu la mwanaume tofauti na mzazi wako
Mapenzi na shule havioani.Kutongoza binti wa kiafrika ni sawa na kujibebesha gunia la misumari kichwani;majukumu yote ya wazazi wake au yale ya kwake utaamishiwa wewe, haijalishi kama ana kazi au hana kazi.Nashauri vijana wenzangu kama unaweza kwenda kuoa ng'ambo nendeni,huku kwetu kuwa mwanaume ni mateso.
Huko nje wanawaona nyani tu bora mbakiNje ya Afrika hawana mambo ya ovyo kama hayo
ha ha ha kwa hiyo mume inabidi agaramie ukataji wa viuno;sasa kama viuno havizungushwi ipasavyo
Unazingua dogo
Bora watuone nyani lakini sio matatizo ya hawa wa kwetu ukimpenda mtatizo mpaka ya binamu ni yakoHuko nje wanawaona nyani tu bora mbaki
Hamna namna vinginevyo mkaoe ulayaSisi wengine tumekubaliana na yote
ha ha ha haTatizo pesa tungeenda kuoa tuka achana na hizi tabu tunakula papuchi zao na bado wamezipaka limbwata la mikosi
Kutongoza binti wa kiafrika ni sawa na kujibebesha gunia la misumari kichwani;majukumu yote ya wazazi wake au yale ya kwake utaamishiwa wewe, haijalishi kama ana kazi au hana kazi.Nashauri vijana wenzangu kama unaweza kwenda kuoa ng'ambo nendeni,huku kwetu kuwa mwanaume ni mateso.
ha ha ha haAzungusha yeye wagharamiane
ha ha ha haMwanaume anayejitambua haombwi pesa na mwanamke unakuta anawajibika mwenyewe kimya kimya Mungu akubariki baba..akujaze palipo pungua eeh roho wa bwana akuguse tena unikumbuke..
ha ha ha ha wengine kutongoza weusi wanashindwa je kwa weupe wataweza kweli,mbali na lugha,exposure n.kOlewa kabisa na wewe uhudumiwe kama hutaki majukumu.
Kutongoza binti wa kiafrika ni sawa na kujibebesha gunia la misumari kichwani;majukumu yote ya wazazi wake au yale ya kwake utaamishiwa wewe, haijalishi kama ana kazi au hana kazi.Nashauri vijana wenzangu kama unaweza kwenda kuoa ng'ambo nendeni,huku kwetu kuwa mwanaume ni mateso.



























