Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,323
Hiyo inaitwa mwanaume pambana mwanamke apendeze, usisahau kutuma na ya kutoleahapo sasa ndio tatizo,watu watatembea suruali zimechanika matakoni
Hiyo inaitwa mwanaume pambana mwanamke apendeze, usisahau kutuma na ya kutoleahapo sasa ndio tatizo,watu watatembea suruali zimechanika matakoni
ha ha ha ha,kwani mwanzoni wazazi mlikuwa mnawakatikia viunoSasa mnataka tuwategemee wazazi kwan ndo tunaowakatikia viuno?
Geisha elf 2000 tu, jidekeze na mkono wakoTunataka tudekezwe...na majukumu yapungue
Geisha elf 2000 tu, jidekeze na mkono wako
ha ha ha hayo majukumu ni mazitoHiyo inaitwa mwanaume pambana mwanamke apendeze, usisahau kutuma na ya kutolea
Si tamaduni tu, kuna ubaguzi wa rangi, kudharauliwa bila sababu za msingi na ukandamizwaji wa utu, nenda kwao utaonekana wewe ni tofauti na wao- wewe ni mweusi ( mchafu/ huogi), huwezi kutoa mchango wa mawazo ukakubalika moja kwa moja, matatizo ni mengi sanaNimekuelewa mkuu,changamoto ni tamaduni tu
ha ha ha utaolewa tu mkuu we kata viuno tuJaman Demiss nitaolewa kweli kama ndo hivi
Achana nayo kwani umeshikiwa bunduki we vipi!!! Tehha ha ha hayo majukumu ni mazito
ha ha ha lakini raha si tunapata woteGeisha elf 2000 tu, jidekeze na mkono wako
ha ha ha na hasa wakijua umetoka 'dark continent'Si tamaduni tu, kuna ubaguzi wa rangi, kudharauliwa bila sababu za msingi na ukandamizwaji wa utu, nenda kwao utaonekana wewe ni tofauti na wao- wewe ni mweusi ( mchafu/ huogi), huwezi kutoa mchango wa mawazo ukakubalika moja kwa moja, matatizo ni mengi sana
Baki na raha zako basiha ha ha lakini raha si tunapata wote
Tuende ng'ambo tu hakuna namna mkuuAchana nayo kwani umeshikiwa bunduki we vipi!!! Teh
Sasa ndugu ki vits kimekushinda kurun marange utayaweza au wataka stress tuTuende ng'ambo tu hakuna namna mkuu
ha ha haBaki na raha zako basi
ha ha ha haHawana mvuto ,taste ya mwanamke wa kiafrica huwezi compare na hao.
Tuache tu tutafute humu humu we katuwakilishe![]()
ha ha ha ha haSasa ndugu ki vits kimekushinda kurun marange utayaweza au wataka stress tu