Maneno ya busara kwa wanaume

Maneno ya busara kwa wanaume

Ukioa ngozi ya kitimoto utapata taabu sana kwa kuishi kwa shinikizo la utamaduni tofauti na wa kwetu.

Mfano kuna jamaa mmoja mtanzania alioa mwanamke wa Sweden amezaa nae watoto watatu, wawili wa kiume na mmoja wa kike. Kijana wake wa kiume wa kwanza kuzaliwa ni shoga na mama yake na ndugu wote upande wa mama wanamsapoti ila baba hapendi. Hali hiyo imesababisha ugomvi na mgogoro mkubwa sana katika ndoa yao
hiyo sababu ya kitamaduni kwangu ni bearable kulinganisha na adha za mademu wa kibongo.
 
Si tamaduni tu, kuna ubaguzi wa rangi, kudharauliwa bila sababu za msingi na ukandamizwaji wa utu, nenda kwao utaonekana wewe ni tofauti na wao- wewe ni mweusi ( mchafu/ huogi), huwezi kutoa mchango wa mawazo ukakubalika moja kwa moja, matatizo ni mengi sana
still bearable... the black man is not free from racial marginalization even in africa soil.
 
ha ha ha ha wengine kutongoza weusi wanashindwa je kwa weupe wataweza kweli,mbali na lugha,exposure n.k
Sasa kama ulikuwa hujui kutongoza mzungu ni rahisi kuliko hata hawa wakina mwajuma wetu. Mimi nime prove hii kitu tena mwanzoni mwa mwaka jana tu, kuna kiwanja kimoja kinaitwa The Cask wazungu wanapatembelea sana.

Hapo nimeshapiga zangu vyombo naangalia meza ya jirani naoana mademu wawili ngozi nyeupe wamepigwa doro tu, ikabidi nivute kiti karibu yao, maongezi yakawa kama ifuatavyo...

MIMI: Mamboo... I see you guys are having a drinks, can I join you if don't mind?

WAO: (wakatabasimu kwanza).. yes it is okay

MIMI: thanks, can we know each while enjoying our drinks? please.

WAO:Yes no problem.

MIMI: Where do you guys come from? as for me this is my native land.

WAO: Germamy and we are here to spend our holiday.

MIMI: What do you enjoy most in our country?

WAO: whether, it is good here compared to that we left at home!

MIMI: I am just overwhelmed with your kindness, I have never met a strangers with such humility, you guys are so cool my hope we're going to be very good friends.

WAO: thanks,

MIMI: it has been nice having funny with you this time, so please give me your contact we can share good moment together next time.

WAO: my name is Silvian and this is my email, you can write my number too.

Na stori zangu na wao zikaishia hapo kwa siku hiyo... nimewasiliana nao sana na mmoja alielekea kukubali kuwa demu wangu sema mambo ya distance.

Sasa njoo kwa hawa ngozi nyeusi tulionao bongo hapa..

kwanza kuitikia salamu tu limtu linaitikia kwa nyoodo utafikiri linachambia asali. Haya sasa lifuate uliombe hata namba ya simu ndio kabisa utajutaa, huu ni mfano tu angalia hapa...

MIMI: Dada mambo? umendeza kweli na hiyo T-shirt yako.

LENYEWE: Poa, ila T-shirt yangu haikuhusu.

MIMI: yaani imekupendeza kweli, ningekuwa napajua unapoishi ningekuja uniazime jumapili niende nayo kanisani rafiki.

LENYEWE: (Kimyaa)

MIMI: halafu Nina jambo la msingi kweli ningependa kukwambia ukiwa umetulia, kama hutojali nipate namba yako ya simu.

LENYEWE: jambo gani? niambie hapa hapa.

MIM: ni jambo la faragha kidogo, we nipatie namba yako ntakwambia baadae.

LENYEWE: Bana kama huwezi kuniambia hapa hapa achana na mimi.

Hivi ndivyo jinsi midada ya kibongo inavyo behave pale unapojaribu kui-approach halafu unasema kuitongoza rahisi... khaa!! tena Mimi naona hata wadada wa kikenya wako approachable kuliko hawa wetu.
 
Ewaa hata gari inataka matunzo ikufikishe utakapo

Hakika, na gari ikichoka ni muhimu kuangalia nyingine yenye kilomita chache..

Muhimu ni kufika tu, acha safari iendelee, Yajayo tutayaona mbele ya safari
 
Yaaani wanaume siku hizi wamekuwa ni walalamishiii. Yaaaniii kazi si kazi yao ni kukimbia majukumuuu... Yaaniii utaskia oooh wanawake wanaomba sana hela, mara oooh matumizi ni meengiii. Yani ni malalamiko kila kona. Nikagundua kwamba kiuhalisia wanaume wa sasa hawapendi kutimiza responsibilities zao kabisa. Wanatapatapa tu. Tatizo ni kwamba wanaume wanataka kulelewa. Gentlemen are so scarce nowadays.
 
Kuwa tu mkweli --hauto Pata dhambi. Wanawake baadhi wengi wenu mme kuwa omba omba sana.. mpaka mnachosha

Imagine sisi wanaume humu wengi hatujuani but wengi wanala lamikia jambo hili 1 tu --!it means hilo tatizo lipo ..
Nivyema sasa mkaanza kujichunguza ili kama Kuna uweze kano wa kubadilika mbadilike. .kuwa gentlemen haimaanishi uwe dhaifu wa kutoa toa pesa hovyo ---

Gentlemen ---yamaanisha kuwa smart kifikira. Usafi wa mwili mpaka roho -u karimu na kuwa up to date. .

Toa hela Mzee baba
Wewe toa hela tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom