Maneno matamu ya Barua za Kale...


Hahahaha! Kuna mmoja alimtumia mpenzi wake card ya harusi kwa kuwa ilikuwa na maua mazuri.
 
kula zabibu rudisha majibu daaa nazikumbuka sana maana nilikua kusema siwezi kabisa ziliniokoa kiasi flani hahahaha
 
hahahahaha! Khaa ''mwenye shingo ya pingili pingili''....kashakuwa muwa tena!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…