coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 4,760
- 5,321
Skuna
Mokasin
Nyapu
Ponyoo
mbona kama nyapu bado latumika sasa kumbe nalo ni la zamani?
Skuna
Mokasin
Nyapu
Ponyoo
WanaJF kuna maneno ni dhahiri ukiyakumbuka unaweza kucheka kama si kuhuzunika kwani yatavuta memmories na kukumbuka mengi mmo kwa wakati huo, mi nakumbuka machache ingawa mengine bado yanadumu, tukumbushane basi ingawa najua wakati ule utandawazi haukuwawepo au kama ulikuwepo basi kwa kiduchu sana, Yafuatayo ni baadhi ya hayo maneno au misemo ya enzi za mwalimu:- 1. Nyapu
2. Mnaa
3. Manga
4. Kutupia ndoano
5. Kupiga chabo
wadau tukumbushane mengine!
na kwa wale wa mpira wa vipande vya nguo, magodoro au karatasi za nylon kulikuwa na
"doso" kupiga doso ni kupiga mpira kwa kidole gumba cha mguu. Doso haikupendwa kwani ilidhaniwa kuharibu mpira
Ni doso au dochi?