Maneno haya ya zamani jamani yanikumbusha mbali!

Maneno haya ya zamani jamani yanikumbusha mbali!

Ugali wa yanga
Rays - mafuta ya mgando
Kibaba
Mjali - kipimo cha mafuta
Wese
Mandondo
Wa ndege - Wali
Wali mchafu - pilau
 
Manzi - mrembo
Pauni - Shilingi ishirini
Kubaka - kukamata panzi
Kulala kona/ndanguro - kulala nje (kwa waliooa/kuolewa)
Njuluku - Pesa
Mung'anda - Rumande
Bayankata - Mabasi ya UDA
N'gondi - miguu
Suruali kipande - Kaptura/Bukta
 
Back
Top Bottom