Maneno haya ya zamani jamani yanikumbusha mbali!

Maneno haya ya zamani jamani yanikumbusha mbali!

Twilumba

Platinum Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
13,599
Reaction score
16,504
WanaJF kuna maneno ni dhahiri ukiyakumbuka unaweza kucheka kama si kuhuzunika kwani yatavuta memmories na kukumbuka mengi mmo kwa wakati huo, mi nakumbuka machache ingawa mengine bado yanadumu, tukumbushane basi ingawa najua wakati ule utandawazi haukuwawepo au kama ulikuwepo basi kwa kiduchu sana, Yafuatayo ni baadhi ya hayo maneno au misemo ya enzi za mwalimu:- 1. Nyapu
2. Mnaa
3. Manga
4. Kutupia ndoano
5. Kupiga chabo
wadau tukumbushane mengine!
 
7. nimesubiri ile ngumu
8.Naipakua hiyo meli.
 
9.Ndege itatua au uwanja umejaa matope?
 
Tutakula au fitina?
 
Beberu
Nyang'au
Kaburu
Mchakamchaka
 
Chekibob
Msokoto
Kidenish
Ngawira
 
Back
Top Bottom