Maneno haya ya zamani jamani yanikumbusha mbali!

Maneno haya ya zamani jamani yanikumbusha mbali!

Kula mtama. Chenga ya mwili. Majalo. Kupiga ugoko.

Shwaini ana dundika. Ki-Luxury (daladala minbus).

Car wash T-shirt.

"ndugu Hakimu, wakati nambaka Kimanga Lofa, Njagu Kinaa alikaa Angle gani................."
 
WOWOWO,NGONGINGO,DALA,MBAU,NONGWA,NUKSI,MAMBO KWA SOX,KIDOSHO,KIMADA,KAPUKU,noma,jiti,thumni,bazoka,bizari,peremende,mdosi,mapepe,kiduchu,kimbembe,sanuka,tukunyema,zamia,majuu,sleepingcoach,
 
Mguu wa kuku
Zege
Chibuku
Ulanguzi
Magirini
 
Jah People ana penda wadada wenye wowowo yaani sijawahiku kumdekishia akiwa na akina betina yeye ni ngongingo kwa kwenda mbele utafikiri katoka ngambo bwana. kuna siku nimemkuta pale hoteli ya Mzalendo amehifadhi Banana zake kwenye mfuko wa Rambo amegiza ubeche yupo na kishtobe aliyepiga losso chini na ukimcheki juu Shem wetu kapiga Chillimen na mkanda wa kipepeo afu juu kanyosha nyele zake na kibanio ananukia Yolanda na anagaa kwa kupiga Rays............. Zamani jamani raha tupu afu watu walikuwa sio wanyimi!!!!!
 
:redfaces: Natamani ningekuwa mkubwa zamani zako,naona kama mlifaidi watu kutokuwa wanyimi?
Jah People ana penda wadada wenye wowowo yaani sijawahiku kumdekishia akiwa na akina betina yeye ni ngongingo kwa kwenda mbele utafikiri katoka ngambo bwana. kuna siku nimemkuta pale hoteli ya Mzalendo amehifadhi Banana zake kwenye mfuko wa Rambo amegiza ubeche yupo na kishtobe aliyepiga losso chini na ukimcheki juu Shem wetu kapiga Chillimen na mkanda wa kipepeo afu juu kanyosha nyele zake na kibanio ananukia Yolanda na anagaa kwa kupiga Rays............. Zamani jamani raha tupu afu watu walikuwa sio wanyimi!!!!!
 
Du mmenikumbusha zamani wazee.
Haya machache mengine.
Danga chee
Demu
Kiduchu
kula mboko
Mwanasesere
Mabobish
Chai maharage
Kipira
 
Gangwe - mtu mjanja
Kitoe - ondoka
Square - mambo safi
Kupe - mnyonyaji
 
unashangaa nini kashangae feri meli inaelea shilingi inazama
kata shingo
shingo feni
 
Duukinaa..
Kishtobe anapaka mafuta ya Ashanti!!!!
 
kutia mtoni....kutembea kwa mikogo
kudindika
kunyangizi
suruali ya kigozi....jeans hiyooo
 
- Vapour
- Kila abiria achunge mzigo wake lakini usiteme mate ndani!
 
Back
Top Bottom