Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 4,048
- 3,051
Hivi wanawake hawawezi kuishi bila wanaume wa kuwapa hela? Au ni lazima kwny mahusiano mwanaume awe anampa hela mwanamke?
PoleMkuu Hongera kwa kuishi na mtu wako vizuri, wengine tukiwa hatuna maneno yanaanza kichinichini na reactions zinabadilika
[emoji23] [emoji23]Dah hiyo kazi ya kuanza kutafuta maneno siiwezi aisee..
Mi namueleza mubashara...aelewe asielewe burudani tu.