Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
Huwa nakwambiaga ukweli kabisa na ninashukuru unanielewa Baby[emoji8] [emoji8] [emoji8]Napenda sana mpenzi wangu aniambie ukweli ili awe na amani na mimi nisimuongezee mzigo, napojua kuwa hana kwa kipindi hicho hata niwe ninashida ya namna gani siwezi kumweleza maana nitamuumiza kulingana na hali yake nitapambana kwa nguvu zote. Ukweli umeweka mtu huru mahali popote sio kwenye mahusiano tuu. Kuwa mkweli uwe huru na uishi kwa amani.