Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,485
Ujue hakuna kitu sipendi kama kuona mpenzi wangu anahangaika kujipapasa makalio yake eti anajidai anatafuta wallet wakati ukweli ni kwamba hana kitu,hakuna mwanaume asiyejua anawekaga wallet mkono gani nikiona anaanza kujishikashika mara mbele mara nyuma naelewa kabisa hapa hakuna kitu naingiwa imani sana inabidi nipotezee tuu. Wanaume jaribuni kuwa wazi muishi kwa amani.Vizur Ney kama huwa unaelewa hali ya kimaisha ya mpenzi wako kwamba kuna kuwa nayo na kuto-kuwanayo kwa baadhi ya nyakati