DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,005
- 2,409
Natoa shukrani kubwa kwa familia ya RABIA Kwa kunikaribisha kwa dini ya kiislamu"
Video imeonekana katika mitandao ya kijamii Inayomuonesha mrithi huyo wa kiti cha babu yake akiikariri "Allah Akbar" maanake "Mungu ni Mkubwa na hakuna aliyekuwa na uwezo zaidi yake"
Sheikh Ibrahim Gabriel aliyeendesha nikaa hiyo katika msikiti wa Kensigton Siku ya jumamosi slithibitisha Mandla alislimu mwaka uliopita na kuwa ndoa hiyo iliendeshwa Kwa misingi ya sharia ya kiislamu.
Watumizi wengi wa mitandao ya kijamii walihoji Iwapo tofauti yao wawili itaruhusu ndoa hiyo kusimama.
SOURCE; BBC