Mtoto wa Mandela Mandla asilimu na kuoa mke wa nne

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Mtoto wa Mandela Mandla asilimu na kuoa mke wa nne

Chifu Mandla Mandela taabani kwa kuukubali Uislam.

Hatua ya mjukuu wa kiongozi mwanzilishi wa Afrika Kusini Nelson Mandela , Mandla, 42, kuslimu na kuoa mke wa nne imevutia hisia kali kutoka kwa viongozi wa kabila lake la AbaThembu.

Wazee hao viongozi wenza wa kabila la Mvezo iliyokuwa ya marehemu ya Mandela ''hawaamini kuwa Chifu mzima wa kabila la Mvezo anaweza kuasi tamaduni zake na kuiga zile za mke wake ''

Mandla alifunga ndoa yake ya nne na bi Rabia Clarke katika msikiti mmoja mjini Cape Town Afrika Kusini mwishoni mwa juma.

Kongamano la viongozi wa jamii mbalimbali nchini Afrika Kusini ; The Congress of Traditional Leaders in South Africa (Contralesa) limeiambia BBC kuwa kuslimu kwa Chifu Mandla kutamzuia kutekeleza majukumu muhimu kuambatana na tamaduni za watu wa jamii ya Xhosa.

Chifu huyo wa kabila la Mvezo ambaye pia ni mbunge alitoa taarifa akiishukuru familia ya Rabia kwa kumruhusu afunge ndoa na mwana wao.

160208131938_mandla_mandela___624x351_mandlamandela.jpg

Image copyright MandlaMandela
Image caption Chifu Mwelo Nonkonyane ameiambia BBC kuwa Mandela bila shaka atakabiliwa na changamoto tele.
''natoa shukrani kubwa kwa familia ya Rabia kwa kunikaribisha kwa dini ya kiislamu''

Shekh Ibrahim Gabriel aliyeendesha nikaa hiyo katika msikiti wa Kensington siku ya Jumamosi alithibitisha kuwa Mandla alislimu mwaka uliopita na kuwa ndoa hiyo iliendeshwa kwa misingi ya sharia ya kiislamu.

Chifu Mwelo Nonkonyane ameiambia BBC kuwa Mandela bila shaka atakabiliwa na changamoto tele.

''Sio mbaya eti kiongozi mmoja wetu ataamua kubadili dini yake ila tunachohoji ni uwezo wake wa kutekeleza majukumu yake kama Chifu ipasavyo''

Viongozi wa kijamii hutakiwa mara kwa mara kutekeleza matambiko kwa sababu moja au nyengine.
150331133209_nelson_madela_mandla_mandela_graca_machel_624x351_getty.jpg

Image copyright Getty
Image caption ''Chifu mzima wa kabila la Mvezo anawezaje kuasi tamaduni zake na kuiga zile za mke wake'' wanahoji wazee hao
Na hivyo Chifu Nonkonyane anashuku majukumu yatakinzana na dini hiyo mpya yake ya Uislamu.

'' Je ataweza kuwachinjia miungu wetu kafara ?''

Chifu Mandla sasa anamaswala mengi yanayohitaji ufumbuzi huku wengi wanaomuhudumia wakisema atahitajika kufanya maamuzi magumu hivi karibuni.

Kwanza anachokabiliwa nacho ni maelezo ya kwanini harusi yake haikuhudhuriwa na machifu wenzake wa kabila la Mvezo .

Wandani wanadokeza kuwa hawakukubaliana na uamuzi wake huo wala ndoa yake hiyo ambayo mkewe hakuonesha nia yeyote ya kutaka kuukumbatia wajibu wake kama mke wa kiongozi wa kabila la Aba thembu.

Video imeonekana katika mitandao ya kijamii inayomuonesha mrithi huyo wa kiti cha babu yake akiikariri ''Allah Akbar'' maanake ''Mungu ni mkubwa na hakuna aliye na uwezo zaidi yake''

Watumizi wengi wa mitandao ya kijamii walihoji iwapo tofauti yao wawili itaruhusu ndoa hiyo kusimama.

Source BBC Swahili
 
Itume link hiyo ya BBC inayosema mtoto wa Mandela kaoa wake wanne baada ya kusilimu (itume ili tuhakikishe).
 
Mtoto wa Mandela Mandla aslimu na kuoa mke wa nne.
Hatua ya mjukuu wa kiongozi mwanzikishi wa Afrika kusini Nelson Mandela, Mandla 42 kuslimu na kuoa.....

Hueleweki ni mtoto au mjukuu wa Mandela?
Vile vile Nelson Mandela siye aliyeanzisha Afrika Kusini.
 
Mtoto wa Mandela Mandla aslimu na kuoa mke wa nne.
Hatua ya mjukuu wa kiongozi mwanzikishi wa Afrika kusini Nelson Mandela, Mandla 42 kuslimu na kuoa.....

Hueleweki ni mtoto au mjukuu wa Mandela?
Vile vile Nelson Mandela siye aliyeanzisha Afrika Kusini.

Mada ni kusilimu, kuoa na nini hatma ya utamaduni wa kabila lake,
Mambo ya historia weka kando.
 
Allahu akbar.
Mungu amlipe kwa uamuzi wake huu.

Sasa sikia mapovu kutoka kwa makatonta. Manake wana Laana hawa.
How is this related to our lovely Christianity?! Everyone has got the will of choosing. He was never a Christian and he has no any influence to our Faith. Our Faith motivater & role model is ONLY ONE, JESUS CHRIST, and not otherwise.

I want to make this very clear to you! In our Faith, All humans are equal & the same. That is the fact.

Galatians 3:28 KJV - "There is neither Jew nor Greek, there is neither bond nor free, there is neither male nor female: for ye are all one in Christ Jesus."

Acts 10:34 KJV - "Then Peter opened [his] mouth, and said, Of a truth I perceive that God is no respecter of persons:"

Grow up, old man!
 
Mandla. Ufuna ube msolomane??? Khumbula sihloniphane. Thina AbaThembu siyakuhlonipha wena manje wasihlupha ufuna umfazi we Sisolomane???
 
Chosen generation

Lovely Christianity? Where did you get this from!
Let me give you a taste of Your lovely thing.

Ephesians 6:5 - "Slaves, obey your earthly masters with respect and fear, and with sincerity of heart, just as you would obey Christ."

That sounds very lovely,

And Who told you the follower of Jesus should be called Christian? You just make that up!

Stop Lying.
In the Bible not everyone is equal.
I'll give you perfect example.

1 Timothy 2:11-12 – "A woman should learn in quietness and full submission. I do not permit a woman to teach or to have authority over a man; she must be silent."

See! In Christianity womens are properties of men"


And finaly have lots of grey hair, is that enough to prove that I'm old
 
Allahu akbar.
Mungu amlipe kwa uamuzi wake huu.

Sasa sikia mapovu kutoka kwa makatonta. Manake wana Laana hawa.
Huyu kijana inaelekea alikua mpagani, rejea machifu walivyomuambia atawezaje kufanya matambiko ya MIUNGU wao kwenye makafara, pili huyo ni mke wa 4, ina maana wakatati anamuoa alikua tayari na watatu. Mwisho, anayo haki kuchagua dini ambayo inaona inamfaa, yeye sio wa kwanza na sio wa mwisho, sasa hao makatonta wenye laana wanahusikaje na huyu kijana, kwa faida ipi hasa
 
, sasa hao makatonta wenye laana wanahusikaje na huyu kijana, kwa faida ipi hasa

We huoni wanaanza kuchomoza mmoja mmoja! We tulia tu. Watajaa sasa hivi hapa.

Manake kila wakisikia Mtu yyt Kaingia kwenye UISLAMU lzm waje Kutoa kashfa na matusi.

Roho zinawauma utafkiri wameibiwa wake zao.

Wana laana mi nakwambia.
Unabisha Tulia uone.
 
kama anaweza kuwapa mahitaji yao yote yanayotakiwa ndani ya ndoa mwache aoe
 
kahtaan

"And Who told you the follower of Jesus should be called Christian? You just make that up!"

Take a close look just below;

"And when He had found him, He brought him unto Antioch. And it came to pass, that a whole year they assembled themselves with the church, and taught much people. AND THE DISCIPLES WERE CALLED CHRISTIANS FIRST IN ANTIOCH." - ACTS 11:26

In the case of Husband - Wife relationship, Yes there must be submission. But when they come in relationship with God, they are all equal. God will judge you, not because of your manhood or womanhood but by your deeds.

"And finaly have lots of grey hair, is that enough to prove that I'm old"

Got you!
 
We huoni wanaanza kuchomoza mmoja mmoja! We tulia tu. Watajaa sasa hivi hapa.

Manake kila wakisikia Mtu yyt Kaingia kwenye UISLAMU lzm waje Kutoa kashfa na matusi.

Roho zinawauma utafkiri wameibiwa wake zao.

Wana laana mi nakwambia.
Unabisha Tulia uone.
Yesu hajatufundisha KUTUKANA, bali HEKIMA katika kujibu. Hao wanaotukana sio WAKRISTO.
 
Back
Top Bottom