Anawakumbusha jukumu la Tanzania katika kupigania uhuru wa Afrika ya Kusini.... Anazungumzia kwa undani hatua na jukumu lililochukuliwa na Tanzania ikiwemo kujitoa kiuchumi, kiutu, kijeshi na hata kiufundi kwa vyama vyote vilivyokuwa vikipigania uhuru Kusini mwa Afrika ikiwemo SWAPO, ANC na Frelimo....Raia wa nchi hizi waliweza kutumia hati za kusafiria za Tanzania ili waweze kushirki katika harakati zao.... Mandela alipokuja Tanzania hakuwa na passport, na alipaswa kwenda nchi nyingi kushughulikia maswala ya nchi yake.... na Madiba alipewa passport ya Tanzania...Anamtania Tabu Mbeki kuwa hana uhakika kama alirudisha ya kwake (passport)...