Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,378
malawi chini ya kamuzu banda hawakushiriki ulombozi wa kusini mwa africa. Malawi walikuwa na balozi kabisa ya africa kusini na flight toka sauzi hadi blantyre. Banda alikuwa rafiki wa makaburu, na ndio maana ht Nyerer hakumfagilia. Mimi nilikuwa nasikiliza sana redio ya kiswahili ya south africa enzi hizo ikiitwa Channel Africa, watangazaji wake wote walitoka malawi wakiongea kiswahili, akina william njonanji na mosses mkandawile wengine nimewasau majina yao, redio hii baada ya uhuru wa south africa ikafa. malawi are not true liberation friendsJK kashamaliza,ila ile hotuba ya Mama Banda ilikuwa na ujazo wa kujitosheleza.Hata ule ujumbe kwa Graca,was very touching.
Kikwete ataongea kama nani? manake naona kama amejipeleka tu....Waziri mkuu wa Ethiopia ni m/kiti wa AU ,Banda ni M/Kiti wa SADC....Sasa JK kama nani? au ndo kupenda kuzurura
Kuna jamaa hapa anaitwa Kolin Thumbadoo anafanya chanting kabla ya Zuma hajaongea. Huu utamaduni sijui maana yake nini? Kila watu na style yao!
Hivi nimemsikia Zuma akisema his excelence Dr. Joyce Banda au nimekosea?
Nilikuwa darasa la sita bd nakula ugali wa baba kamanda. Au ulitaka nikawe child soldierAisee!Sasa mbona we ulimsoma na haukuingia msituni ukatokee zimbabwe kuingia sauzi ukawachinje makaburu?
Hahaaaa.....trademark Zuma! Yeye kwenye kuimba tu hajambo.
Kuna kitu kibaya zuma aliongea juu ya malawi, baadaye aka apologise, nimesikia jamaa wa cnn wakikisema lkn sikuelewa vizuriKAMA MAHESABU YANGU YAKO SAWA NI VIONGOZI WAWILI TU KUSINI MWA AFRIKA WAMEHUDHURIA MAZISHI HAYA, AMBAO NI MAHASIMU, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania na Rais wa Malawi. Kitu ambacho sijakielewa ni kwanini kila Raisi wa Afrika ya Kusini akitaja malawi kuna kuwa na kicheko hata msema chochote alipoitaja pia kulikuwa na kicheko...
Hebu tuwekane sawa...
Ok, wakuu mi najikata mbele ya screen naenda kudhurura, toeni Update vizuri. Au sio washikaji?
Ile dance ya kunyanyua mguu juu inaotwa umsholozi, sisi wenye asili ya south si unaona kucheza kwetu ni asili, ushaona lizombe likichezwa hahaaaaaaaaaaaMkuu huyo jamaa siyo kuimba tu hata kudance hajambo, wanamwita Jayzee.
Tuletee ushahidi kutoka hotuba ya Kikwete kumkaribisha Obama!!! No research, no right to speak!
Yani kwa muonekano wa kikwete,
asipojitambulisha unaweza kusema ni rais wa
Brazil hivi. Jamaa ana haiba, alafu haongei
pumba, he got sense of charm ana ongea kwa
historical reference. In short najisikia raha
kusema JK ni rais wangu.
Sipati picha ndio eti rais wa nchi ni dokt slaa, au
mrema wangelitia aibu taifa