Manchester Utd vs Arsenal UEFA Champions 09

Ohhhhh!....i guess that dozzzii was 1x1 and not 3x1 manake hawa jamaaa wange-collapse!

Jana Emirates Stadium ilikuwa kama MBAGALA JESHINI!!!

Go United!!
Congrats kwa manazi wenzangu...Veteran Idimi, Bro Roy, Ica, Nziku, Belo, Belinda, Mbu, nooooo sio Mbu i meant 'Ab-Tchaz' (zile dawa kazitafute mapema bro) et al....!

...halafu hii thread inaendelea ya nini wakati game ilisha kwisha tangu jana? au ndio mnasubiria EPL pia? acheni hizo nyie, aaaarrggghh... au ndio 'kipofu kaona mwezi?' Samir Nasri aliwatundika mbili wala hatukuwafanyia tasnifa namna hii :(
 
Duh kama utani yaani safari ya ubingwa wa premier itapitia Emirates na champions league imepitia Emirates.....balaa hili....mashetani juuuu
 
...halafu hii thread inaendelea ya nini wakati game ilisha kwisha tangu jana? au ndio mnasubiria EPL pia? acheni hizo nyie, aaaarrggghh... au ndio 'kipofu kaona mwezi?' Samir Nasri aliwatundika mbili wala hatukuwafanyia tasnifa namna hii :(

Mbu, Acha hasira kuna wengine hatukuwa karibu na JF

Mwangalie nduguyo hapo baada ya kipigo cha juzi kati

Arsenal striker's late-night Bendtner sees Nicklas drop his trousers after Gunners' pants display

article-0-04D2B940000005DC-876_224x423.jpg

article-0-04D2B95C000005DC-173_224x423.jpg
 
Last edited:
Mbu tugange yajayo next game mnakutana majeruhi tupu
Arsenal Vs Chelsea
 
Back
Top Bottom