Manchester Utd vs Arsenal UEFA Champions 09

Mechi ya kwanza watoto wa Mr. Bean walikuwa na bahati, naona leo walikuwa wanakaa kitako tena wakisubiri tena bahati badala ya kucheza soka..

Nawasikitikia sana wale jamaa walokuja na mabango ya "We trust in Mr.Bean", alidai timu itakuwa kali lakini lol..Kweli Mr.Bean ni Mr.Bean tu..
Mambo ya ku-trust Mr Bean nni wakicheza na akina Aston Villa na Portsmouth.
Unapokuja kulinganisha Man na Arsenal ni madaraja tofauti. Manchester iko "top one", ama at least "top two" wakati Arsenal wako "top four" wala sio "top three"! Unategemeani? Nawauliza wana-Gunners.
 
Mlisema tulikosa chance nyumbani kwetu mtakuja kutufunga home kwenu sasa mmetufanya hata goli moja la kawaida???Maana naona mmetufunga la penalt tu...Kulibani kwamba nyinyi bado kiwango chenu cha mpira ni kidogo ambacho ni cha 30% na united ni 70%........
 
Leo Red Devils came out looking for blood and unfortunately bunduki za Arsenal zilikuwa na rubber bullets. Yani leo ni furaha mtindo mmoja.
 
Basi itabidi niugue tu wiki nzima... Hehehehehe!

Sitaki kufikiria kabisa... Balaa

Tena utakavyotafutwa hapa jamvini kesho, we ngoja tu!

Ishalaah mshinde kesho, mkishindwa imetoka!Safari ya Rome itasitishwa hapo hapo..he he
Tchao.
 
Leo Red Devils came out looking for blood and unfortunately bunduki za Arsenal zilikuwa na rubber bullets. Yani leo ni furaha mtindo mmoja.

Mambo ya Bunduki bila Risasi, lol!...
Hakulaliki leo kwa Man Utd fans,naona kama wewe mmojawapo Icadon!!!
 
Mambo ya ku-trust Mr Bean nni wakicheza na akina Aston Villa na Portsmouth.
Unapokuja kulinganisha Man na Arsenal ni madaraja tofauti. Manchester iko "top one", ama at least "top two" wakati Arsenal wako "top four" wala sio "top three"! Unategemeani? Nawauliza wana-Gunners.

Sasa subiria usikie watakavyofurumushana ..

Kwenye ligi Arsenal wangeweza kuwa pazuri kama wangeimarisha ulinzi mapema, maana kule mechi ni nyingi lakini kwenye Champions ligi ngoma ni tofauti kabisa. Kila mechi ni kama fainali ..

Naona Beckham alikenua kichizi Ronaldo alipopiga goli la 3, sidhani kama Mr.Bean atakubali tena aje a-train nao..lol..
 
Hi wana JF,

Man U ni matawi ya juu. Nafikiri kocha anatumia uzoefu na utaalamu wake vizuri sana. Kwa siku za hivi karibuni hana kitu kinaitwa first 11. anapanga timu kutokana na strength ya wapinzani. Leo Arsenal hawakuamini muziki walioupata kutoka kwenye kikosi ambacho Barbe na Tevez walikuwa bench. Mpira uliochezwa leo na Man U kwa lugha kwa lugha ya ki-leo ni three quarter football na sio totalv football.

HurEEEE Man U
 
Man tutazidi kutisha, nasikia na Ribery anataka kuja!
Gunners watoto wadogo wasubiri wakue kwanza, miaka minne, ama mitano ijayo ndio tutakuwa tunaelewana lugha!
 
Mmmmh Gulp Gulp nimeamka baada ya match matokeo ndo vile tena tumeshindwa home ground... kwa HASIRA KESHO mimi nipo BARCA... Najua shujaa wetu Henry atatunyanyua fainali... Arsenal wooooye,BARCAS/Henry Woooyeeeeeeeeeeeeeeeeeee... Blurp ZZZZzzzzzzzzz....!!!
 
heheheh, hukulala wala nini sema zuga ila haina noma habari ndio hiyo mwana. Its just a Game.

Arsenal-v-Manchester-United-In-pictures.html
 
Mmmmh Gulp Gulp nimeamka baada ya match matokeo ndo vile tena tumeshindwa home ground... kwa HASIRA KESHO mimi nipo BARCA... Najua shujaa wetu Henry atatunyanyua fainali... Arsenal wooooye,BARCAS/Henry Woooyeeeeeeeeeeeeeeeeeee... Blurp ZZZZzzzzzzzzz....!!!

mimi najua hukulala wa nini sema zuga ya aibu, Its Just a game ingawa kulikuwa na mikiki leo maaana daaa

arsenal_fans_reu_1397137i.jpg
 
....ha ha ha haaaaaaa,....thanks Icadon, imebidi nicheke tu pamoja na kipigo cha 'mbwa mwizi' mlichotupa leo!

Huyu Invisible ana mwenzake mmoja yeye Chelsea wakicheza anakuwa na mitihani, Invisible ndio hivyo uwa anaonekana dakika 5 za mwisho (kama hawajafungwa).
 
Ha ha ha ..Invisible yu wapi ajibu kesi hii.

Tuombe leo kusiwe na ' urgent JF system upgrade' au thread kufungwa ..kwi kwi...
 
Wako wengi GT ndiyo alianzisha thread ya Arsenal but naona kaamua kukimbilia kwenye SIASA na Sandra Matuta nae alianzisha thread ya Chelsea but naona kakimbia kabisa
 
Huyu Invisible ana mwenzake mmoja yeye Chelsea wakicheza anakuwa na mitihani, Invisible ndio hivyo uwa anaonekana dakika 5 za mwisho (kama hawajafungwa).

Nakuona unavijineno lakini hamna noma maana mumeshinda jana.
Leo hamna cha mtihani wala nini,semester imekatika na tutakua
mbele ya runinga from the go.

After seeing what happened yesterday, nakubali kweli kuna kazi
na "its not over till the fat lady sings"...tukutane darajani.
 
Ohhhhh!....i guess that dozzzii was 1x1 and not 3x1 manake hawa jamaaa wange-collapse!

Jana Emirates Stadium ilikuwa kama MBAGALA JESHINI!!!

Go United!!
Congrats kwa manazi wenzangu...Veteran Idimi, Bro Roy, Ica, Nziku, Belo, Belinda, Mbu, nooooo sio Mbu i meant 'Ab-Tchaz' (zile dawa kazitafute mapema bro) et al....!
 
Wako wengi GT ndiyo alianzisha thread ya Arsenal but naona kaamua kukimbilia kwenye SIASA na Sandra Matuta nae alianzisha thread ya Chelsea but naona kakimbia kabisa
Hahah GT anatoana roho na wanasiasa wenzake kwenye jukwaa la siasa uko alafu yule nahisi ni mshabiki wa West Ham au Fulham lol.

Nakuona unavijineno lakini hamna noma maana mumeshinda jana.
Leo hamna cha mtihani wala nini,semester imekatika na tutakua
mbele ya runinga from the go.

After seeing what happened yesterday, nakubali kweli kuna kazi
na "its not over till the fat lady sings"...tukutane darajani.

Mtani, si unajua wote mlikuwa against us(Chelsea, Liverpool, Arsenal). Ila mwambie invisible leo ajumuike nasi basi kha!!
 
Noma tupu!
Manchester United's hopes of overturning Darren Fletcher's red card have been dashed by UEFA, who state that overturning the Scot's suspension for the Champions League final would open a "Pandora's Box".

Darren Fletcher's harsh sending off seems certain to rule him out of playing in Rome.
UEFA have confirmed that a protest against a sending off would only be allowed on the basis on mistaken identity - and not on whether the referee had been too harsh.
 
Noma tupu!

duh! aise nilitegemea sana kuwa UEFA watatenda, anyway!

Arsenal nawapa pole sana kwa kipigo kilicho wachanganya wengi hata wengine kufikia uamzi wa kujiua. Kwa mujibu wa bbc/swahili jioni hii, shabiki mmoja wa Arsenal huko Nairobi, Kenya amejitia kitanzi sababu ni uchungu wa kipigo. poleni sana, mtatakiwa kuwa na ustaarabu wa kujua nini maana ya michezo.
 
Back
Top Bottom