Tafuteni wachezaji wa kueleweka wachezaji wafuatao hawana sifa za kuvaa badge ya klabu yenu
Onana uzeni
Anthony uzeni
Rashford uzeni
Bruno. Huyu ndo kabisaa hata kuvaa kitambaa hafai uzeni haraka
Garnacho huyo toeni kwa mkopo
Mattominay uzeni
Martial uzeni
Hodjlund uzeni
Casemiro uzeni