Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona sasa humu mnataka kupigana wenyewe kwa wenyewe! So Kagawa mjinga au sio mjinga? Au mjinga aliyemuingiza kucheza hapo?
 
Dah to be honest hili goli la tatu limeniuma sana,basi tu sina la kufanya.
 
Hamna mtu mbishi kama mimi ikija kwenye kukubali mapungufu ya United. Lakini hata mimi nina limit yangu na leo nimeivuka. United needs an intervention.
 
Haya man city kaongeza point tatu arsenal kapoteza point mbili.
 
Liverpool 3 kwa 0,chelsea 3 kwa 0 na leo man city 3 kwa 0 kwa kweli inauma na tukiendelea kuona hali hii ya matokeo ni kitu cha kawaida ndo itakavyokuwa ngumu kuitengeneza timu katika msimu ujao
 
Tupo kwenye kpindi cha mpito tuvumilie jamani.
 
Hamna mtu mbishi kama mimi ikija kwenye kukubali mapungufu ya United. Lakini hata mimi nina limit yangu na leo nimeivuka. United needs an intervention.

kocha wetu mpendwa leo moyes kavunja rekodi nyingine kufukungwa consecutive derby matches na man city 3 mfululizo na kupoteza mechi kumi katika msimu mmoja.mara ya mwisho ilikuwa mwaka 42
 
Tupo kwenye kpindi cha mpito tuvumilie jamani.

kama unafuatilia soka vizuri kila mtu anajua kwamba tupo katika kipindi cha mpito na tulitegemea kushuka perfomance na matokeo but sio katika extent hii msimu mmoja kupoteza mechi kumi tena mechi sita ndani ya old trafford.
Its unimaginable
 
Duh...nawaonea huruma United. DM is the football genius... YNWA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…