Siku hizi tunatembelea upepo wa Bruno na zile pasi zake ambazo awali tulimkosoa kuwa hana utulivu kama namba 10 halisi. Kwa risk taking anayofanya Bruno ndio maana tunaonekana hata mashambulizi tunafanya ila siku akipata majeruhi au akizira kukimbia uwanjani kama timu ni ya baba yake, ndani ya mechi 5 relegation hii hapa.
Timu inashindwa kumiliki mpira dhidi ya Coppenhagen,Sheffield, n.k?