Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We are the famous fucking red devils. Leo mbinu ni ileile hakuna mabadiliko, tunakaa nyuma tunaziba space vizuri, tukipata mali inapigwa kwa Bruno, Bruno anapiga ndefu kwa Rashford... Kamba. Au tunapiga ndefu Moja Kwa Moja kumtafuta Hojlund ... Kamba
 
Tutapigwa kama ngoma
Na tukipata goli linasawazishwa mapemaa ndani ya dakika 2 wanajisahau qmk kweli we are fvckin manyumbu untd
 
Bado sijaona hapo manjesta beki wakumuweka nje Maguire ukweli usemwe

Ndiye beki mwenye percentage kubwa ya ushindi kwa mechi alizoanza

Mechi 17

Win 16

Sio Varane au kenge yoyote anayemuweka nje Maguire ,

7hag sijui alidanganywa na Nani kuwa Maguire Ni mbovu
 
Manchester United huwa kama wachawi mechi ambayo wengi huomba wapigwe ndo huwa wanashinda sasa au Sare

Leo haters tusimalize sana Maneno wanaweza kutushangaza mashetani hawa
 
Manchester United huwa kama wachawi mechi ambayo wengi huomba wapigwe ndo huwa wanashinda sasa au Sare

Leo haters tusimalize sana Maneno wanaweza kutushangaza mashetani hawa
Kuna account naiona twitter, kuanzia uandishi, content hadi ushabiki inafanana na account hii.

Kama utaniruhusu naweka screen shot ya account hiyo.

Nimezichunguza account zote mbili, nimegundua zinamilikiwa na mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…