Manchester United (Red Devils) | Special Thread

7hag Nan alimfanyia vetting process Hadi kupewa aifundishe manjesta?
 
hii timu uwa ni kama nyumbu zina sukumiwa uwanjqni kachezeni .bila mipango inshort hamna kocha nyumbu nyie
 
Tukimsajili Onana tutakuwa tumeongeza mchezaji muhimu kwenye first phase hususani kwenye buildup.

Walisikika baadhi ya wachambuzi na wapiga kelele kama sisi.
On the pitch ishu ni tofauti.
 
Team imekuwa ya kijinga sana hii, sikui ETH anafundisha nini tu. Hatueleweki tunacheza mfumo gani, hatuwezi kupiga pasi 5 bila kupoteza mpira, huko mbele watu wanapishana kama wanaenda sokoni(hakuna ubunifu wowote).

Kama tunapigiwa mpira mwingi hivi na kateam ka Denmark, EPL tutamaliza nafasi ya ngapi..?
 
Watu wanakosa nafasi za wazi hadi siku hizi tunaokolewa na mabeki.

Hii team hata conference haifai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…