Mkuu huyu Hojlund huwa unamfatilia akiwa na NT pia? Kiwango chake kwa team yake ya Taifa ndio kingine kinachonionyesha ni kwa kiasi gani team yetu ni mbovu kupindukia.Yule Hojlund na genge lake pale mbele ni sawa na 0 kabisa.
Team inaokolewa na wachezaji kutoka eneo jingine[emoji3064]
January tujaribu kumchukua osmhen
Mkuu huyo Gusto jana kachoma goal la 2.Kwa uu mpira mnaopigiwa na shelffed united aise mukikutana na mikiki mikiki ya Mudrik na Malo Gusto munachezea mapema ukuni mutakatifu
Nawatia moyo tu๐Kumbe we ni nyumbu
Imekuwaje kachoma me skucheki game. Ni laivskoo tuMkuu huyo Gusto jana kachoma goal la 2.
Bruno ana ndoa ya maisha na united,tatizo united inamsaliti kila mechi,kila siku na kila msimu.Wataruka ruka weee lakini ni nadra sana kutokea mchezaji akamzidi rating ๐๐ซ๐ฎ๐ง๐จ ๐ ๐๐ซ๐ง๐๐ง๐๐๐ฌ we anza kufuatilia.
#๐๐ง๐ช๐จ๐ฉ๐๐๐๐๐ง๐ค๐๐๐จ๐จ๐๐๐[emoji1179][emoji3541]
#๐๐ฃ๐๐ฉ๐๐๐๐ค๐ง๐ฉ๐๐๐๐๐ฃ๐จ[emoji2522]
#๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐จ๐๐ข๐๐ฃ๐ผ๐ฉ๐๐๐ฃ๐๐ฉ๐[emoji837]
#๐๐ก๐๐ฏ๐๐ง๐๐๐[emoji469]
#๐๐๐๐[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2789034
Chambuzi la tembele na cha-goat la aerial duel wonHii timu kwasasa ipo ICU , kuanzia next week inarud nafasi za 10-14