Kumbe we ni nyumbuGLORY GLORY MANCHESTER UNITED
Yaaani hapo baaaadoo...Rushford selfish sana.
Munaunga unga sana mutaiweza chelsea kweli?
Kwa uu mpira mnaopigiwa na shelffed united aise mukikutana na mikiki mikiki ya Mudrik na Malo Gusto munachezea mapema ukuni mutakatifuChelsea ipi hiyo hii hii ya leo au kuna nyingine[emoji1787] we tuache asee
Wanajifanya wabishi...Kwa uu mpira mnaopigiwa na shelffed united aise mukikutana na mikiki mikiki ya Mudrik na Malo Gusto munachezea mapema ukuni mutakatifu