Mashabiki wa manjesta Kama CHADEMA tu kelele na maandamano wanafanyia mitandaoniHivi mashabiki wa Man Utd hawawezi kuweka mgomo kama vile kutoingia uwanjani, kutonunua jezi mpaka pale timu itakapouzwa?
Wewe unaota Tena mchana kweupeNawakumbusha tu "Wanangu wa Man U" hata bid ya Saudi Arabia kwa Newcastle ilikataliwa na ikaripotiwa na vyanzo vikubwa vya habari kama SkySports kuwa Saudia wamejitoa ila mwisho wa siku Mwarabu akapewa timu.
Mwarabu anachukua timu, ni suala la muda tu.
FaizaFoxy 😄Kwaheri sheikh ubwabwa Jasim,
Manjesta ina wenyewe na wenyewe kina Sir Jim
Sources close to Sheikh Jassim say there is "no chance" he will return to the negotiating table.
[@MikeKeegan_DM]
Soon tunarudi Mr WalterNyumbu mmepoa.
Jumamosi tunaanza ligi.Hatujafika hata GW10 tayari mmeshaanza kuhamia kushabikia Mamacita ,wengine mmeheuka wapiga ramli
fuentte huyu amekuwa na uchungu Sana , Jumamos Sheffield wanataka sare tu
Msijilinganishe na Arsenal nyie nyumbu.Jumamosi tunaanza ligi.
Na kama unaujua utaratibu wa EPL, man utd wakiwa form arsenal lazima wapoteane tu.
Kwakua mnacheza na promoted team au sioIla naamini matumaini yanaanza kuja baada ya hii break.
Tuombe iwe hivyo mkuu.Nawakumbusha tu "Wanangu wa Man U" hata bid ya Saudi Arabia kwa Newcastle ilikataliwa na ikaripotiwa na vyanzo vikubwa vya habari kama SkySports kuwa Saudia wamejitoa ila mwisho wa siku Mwarabu akapewa timu.
Mwarabu anachukua timu, ni suala la muda tu.