wameshaichafua, mbaya sana vibonde hawa kutukalia hivi. SAF haufanya maamuzi sahihi kutomweka mzoefu forward line. Hawa akina Macheda, Wellback, Obartan, Gibson na Anderson ni wachezaji wazuri lakini hawana uzoefu. Kibaya zaidi akamuweka na Park ambaye amekuwa benchi muda mrefu.
Match ya mwisho itakuwa ngumu sana, wale Wajerumani siyo mchezo tena watakuwa nyumbani kwao. Mara zingine huwa siyapendi maamuzi ya SAF. Mechi ya leo aliamua kuitoa sadaka kwa sababu ya semi-final ya Curling.

Kwa lipi tena mkuu wametusahau? Maana tulikuwa nao pale darajani wiki kadhaa zilizo pita.Vp wazee waturuki wameharibu record ile nzuri..ndo msingi anzeni upya mazee.