Binafsi ningependwa tupangwe na Bayern au Dortmund ,timu nisizozitaka ni Atletico,Madrid na Chelsea
man utd....psg....real madrid and atletico madrid will progress to the semis.
Binafsi ningependwa tupangwe na Bayern au Dortmund ,timu nisizozitaka ni Atletico,Madrid na Chelsea
What a dreamer you are sir!
Mkuu wangu Kulya hapa nattegemea miujiza ya Mungu lakini huwezi jua bahati yetu imelelia wapi.
even BARACK OBAMA had a dream...........Arsenal showed that teams can go to ALLIENZ ARENA and get good results...we will take that as catalyst!
ofcourse tutaingia kwenye hatua/mechi tukiwa kama underdog but experienced one na hatutokuwa sana favourite wa kupita au kushinda hata kwa wachezaji wa bayern wenyewe na tutaitumia hiyo kama advantage kwetu by the way kama ulivyosema,kwenye mpira chochote kinaweza kutokea ila ukweli mechi ni ngumu sana kwa man u but tutapambana as long as we are united
Usitulinganishe Man United na Arsenal,hao ni vibonde wa hayo mashindano.Kwangu naona bora kukutana na Bayern kuliko Real Madrid,Barcelona,Atletico au Chelsea kwenye stage hii.Bayern huwa anapata tabu sana akikutana na timu za England na ukiangalia kiwango walichoonyesha dhidi ya Arsenal kilikuwa kibovuTatizo lako na yeye ni unaota mchana na jua kaliiiiii!
What Arsenal did, Moyes can never pull in a million years..
Tatizo lako na yeye ni unaota mchana na jua kaliiiiii!
What Arsenal did, Moyes can never pull in a million years..
Usitulinganishe Man United na Arsenal,hao ni vibonde wa hayo mashindano.Kwangu naona bora kukutana na Bayern kuliko Real Madrid,Barcelona,Atletico au Chelsea kwenye stage hii.Bayern huwa anapata tabu sana akikutana na timu za England na ukiangalia kiwango walichoonyesha dhidi ya Arsenal kilikuwa kibovu
Walete walete hao walevi wa Bavaria.
Game ngumu sana kwa United; hata kwa Bayern pia.
Lakini kwa hali ilivyo sasa, wachezaji wa United hawatokuwa na pressure; si ni underdogs bana!!
Tuombe uzima tu hapa.
Let's do this #ManUnited