Hivi wewe huwa unituzama mpira gani? Onana anayomapungufu yake ya kibinadam kama alivyokuwa De gea, kwa magoli anayofungwa Onana kipa yeyete yule ata awe bora vipi anafugwa. Tunafungwa magoli ambayo mfungaji anakuwa huru na kuchagua wapi ashoot yaani hakuna block wala interference anayofanyiwa na beki zetu. Hivi sasa tumekuwa na beki mbovu nadhani kuliko msimu wowote tangu niwafahamu utd. Kama nikustop mashut tumeona Onana anstop shoot nyingi tu. Majeruhi ya beki zetu huwenda ndio yanatugharimu kwa kiasi kikubwa Nilichofurahi leo angalau timu imeanza kupata magoli kupitia straiker sio viungo na mabeki pekee.