Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vp bado huna wasiwasi na uwezo wa onana?
 
Kocha ni kiazi sana huyu. Kiungo cha wastaafu kila mecho anawapanga na hakuna matumaini yoyoye. Bichwa lake kama papai.
 
Juzi niliandika hapa kuwa tunaenda pre season hatuna GK, hatuna striker, hatuna RB wala LB, katikati tuna Casemiro pekee, kuna Mwendawazimu mmoja alikuja juu sana kwamba tayari tumesha msajili Onana, kiko wapi?????? Leo tuna Leeds
Two months later, bado hatuna golikipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…