Timu yoyote yenye misingi ya kukaa na mpira itawapiga Hawa jamaaLile goal naangalia clip yake, mdomo ukabaki wazi aisee
Bayern anawaua leo hawa
Picha za usiku zimeanza kuvujaTimu yoyote yenye misingi ya kukaa na mpira itawapiga Hawa jamaa
Subiri uone Burney ya Company next week sitashangaa wakichukua point 3
Msimu huu Hakuna room ya kupata matokeo kwa Miujiza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba WAGONGWE 4,hilo linawezekana,kwa Mpira wao wa PAPATUPAPATU,wanaachaje kugongwa mkonoNyumbu nme wauwa kwa over 3.5 msi niangushe wanangu .sie wote ni ndugu
[emoji81]wakubaliane na hali tu, waache leo ipite[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba WAGONGWE 4,hilo linawezekana,kwa Mpira wao wa PAPATUPAPATU,wanaachaje kugongwa mkono