Anaenda kuvunja rekodi akiwa mchezaji wa Man Utd.Most own goals in Europe
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ[emoji1179][emoji3541]
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨[emoji2522]
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π[emoji837]
#ππ‘ππ―ππ§πππ[emoji469]
#ππππ[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2748751
Wakina mama wame chachamaa huku mama feisal huko maguire mwingine spain kagoma kula π₯π₯π₯π₯Mama yake harry maguire
View attachment 2748917
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] umeshindikanaBro niache nilivyo, hzo overloading, playing style na pass million ni zenu. Me naangalia final product....arsenal huna cha kunambia.
Hili li season nasubri zangu second position EPL na nusu final UEFA.
ETH is cooking
Mimi Kama mzazi nimeguswa Sana na mama magwaya kaandika kwa hisia SanaMama yake harry maguire
View attachment 2748917
Wana makosa ila sio kwamba 7egg hana makosa ,tuwekane sawa hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu Masingeli Glazer ni jipu kivipi wakati wao kila msimu wanamwaga noti za usajili?
Wewe tunakuomba uendelee tu kumlaumu Mayai7 kwa sajili zake halafu watetee hao kina Glazers na Management yao.
Chini ya Glazer na management ya Utd Mourinho mwenyewe alikiri kabisa [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2748782
Mwambie 7hag ashinde mechi tu.Ona hili boya jingine.
π π π oky[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] umeshindikana
Imani yako imekuponya
Hii timu ina matatizo mengi ambayo mashabiki ni ngumu kuyaona. Mourinho, Van Gaal, Zlatan, Sanchez walishasema na Ronaldo ndiyo alikuja kufunguka zaidi. Watu kama Rangnick walisema ukweli wakatimuliwa.Aisee Grazzer family nao jipu lakin watu wa management Kwanini wamekuwa hawashinikizi Hadi wanaonekana wao na Grazzer Ni wamoja.
Mfano Swala la Sancho na kocha ndiye mwenye maamuzi ,CEO Richard Mourtogh anaingiliaje kuwa mtu wa Kati?
Vipi ikitokea CEO anamtaka abaki ,kocha hamtaki
Glazers ni mafala. Wanatoa pesa ya usajili kutoka kwenye mapato ya timu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu Masingeli Glazer ni jipu kivipi wakati wao kila msimu wanamwaga noti za usajili?
Wewe tunakuomba uendelee tu kumlaumu Mayai7 kwa sajili zake halafu watetee hao kina Glazers na Management yao.
Chini ya Glazer na management ya Utd Mourinho mwenyewe alikiri kabisa [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2748782
Toxic fanbase inaongezeka kwa kasi sana hasa kwa ligi ya Uingereza.Mimi Kama mzazi nimeguswa Sana na mama magwaya kaandika kwa hisia Sana
Now days tuna fanbase inayo bull wachezaji hadi wanapatwa magonjwa ya Akili
Kuna page ya Troll football hawa jamaa wamekuwa wajinga sana wala hwaangalii ishu za muhimu zaid ya ujinga..Mimi Kama mzazi nimeguswa Sana na mama magwaya kaandika kwa hisia Sana
Now days tuna fanbase inayo bull wachezaji hadi wanapatwa magonjwa ya Akili
Tatizo ni Social Media, zamani ukitaka kum-bully mtu lazima mkutane face-to-face na kama hujiwezi maana yake unaweza kuchezea kichapo.Ila wanangu tuacheni utani wa kumkandia sana Maguire ,he is really going though a lots ..
Jamani tuacheni huyu jamaa kuna kitu kinampoteza ni ishu ya kisaikolojia,Zaidi anavyoandamwa na kujiona mtu ambaye hana bahati basi ndio anazidi kufanya mistakes.
Enough ! Enough !! Enough!!! Tumuaveni huyu jamaa hayupo mentally active na pia tufikirie ubinadamu zaidi nje ya mpira kuna ule utu wa kufeel sympathy hafanyi makusudiπ₯²
Mimi kama shabiki nguli wa Arsenal naona huruma sana huyu ni binadamu ana familia ,jaalia mpaka mama ake amejitokeza kuzungumzia ishu ya mwanae...Wanaumi zaidi ya makosa anayogharimu timu..
Mama yake kaongea kwa hisia Sana ,Mimi Kama mzazi mwenye mtoto ile meseji yake imenigusa SanaIla wanangu tuacheni utani wa kumkandia sana Maguire ,he is really going though a lots ..
Jamani tuacheni huyu jamaa kuna kitu kinampoteza ni ishu ya kisaikolojia,Zaidi anavyoandamwa na kujiona mtu ambaye hana bahati basi ndio anazidi kufanya mistakes.
Enough ! Enough !! Enough!!! Tumuaveni huyu jamaa hayupo mentally active na pia tufikirie ubinadamu zaidi nje ya mpira kuna ule utu wa kufeel sympathy hafanyi makusudiπ₯²
Mimi kama shabiki nguli wa Arsenal naona huruma sana huyu ni binadamu ana familia ,jaalia mpaka mama ake amejitokeza kuzungumzia ishu ya mwanae...Wanaumi zaidi ya makosa anayogharimu timu..
Toxic fanbase Ni hatari kwa afya za wachezaji wengiToxic fanbase inaongezeka kwa kasi sana hasa kwa ligi ya Uingereza.
Tanzania pia ilitokea kwa Kibu Denis na Laudit Mavugo
Wale jamaa ni wajinga Sana nimeona leo wanamtania Tena magwayaKuna page ya Troll football hawa jamaa wamekuwa wajinga sana wala hwaangalii ishu za muhimu zaid ya ujinga..
Ipo siku watakuja kushtakiwa tu.!!
Brendan Rodger kazungumza kasema ilianza kwa man u fans wenyewe , hii kitu mchezaji Kama sio strong anapotea moja kwa moja , man u ina make Sana headline kwenye social media, hivo mchezaji asipo deriver haraka anaweza kupotea mazimaKuna page ya Troll football hawa jamaa wamekuwa wajinga sana wala hwaangalii ishu za muhimu zaid ya ujinga..
Ipo siku watakuja kushtakiwa tu.!!