Ole gunar mna mu underrate Sana ,jamaa alikuwa hana experience lakin soon angaipata, mlipoanza kumvurugia project yake mkamletea Ronaldo , ndio downfall yake ikaanza ,Kwa Man Utd hii ya kina Glazers hizo talents zote zingepotea bure tu ni bora hata tulivyowakosa.
Kila nikimuangalia Sancho huyu wa sasa na yule Sancho wa Dortmund roho hua inaniuma sana.
Ole gunar mna mu underrate Sana ,jamaa alikuwa hana experience lakin soon angaipata, mlipoanza kumvurugia project yake mkamletea Ronaldo , ndio downfall yake ikaanza ,
Kwa Ole wangeshain alikuwa ana mpira fulan kaunta ya Akili Sana ,sio kulinda tu
Klopp na Pep walikuwa wanapigika vzr tu ,Tena Kama Pep Guardiola alishakuwa kibonde wa Ole .
Alimsajili nani kuonesha hilo au ndo mihemko? Ao unaotuwekea aliwapata? Kwa nini hakuwapata? Nani alimsajili Maguire, Sancho na Dan James?Ole ID talent is exceptional, better than ETH
Ukweli mchungu ,Ole anamzidi mbali Sana 7hag ,Ni vile hakuaminiwa ,aliletewa mamluki
Ole alikuwa anacheza counter attack ya kisasa ,sio hii ya 7hag dakika 100 anapiga pass 250 in his own half
View attachment 2747598View attachment 2747600
Ningekuwa mm ndio Maguire ningeomba likizo.#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π
#ππ‘ππ―ππ§πππ
#ππππ
man utd |View attachment 2747799
7 egg hapana aisee ,nilimkataa 7egg mech na Arsenal ile manshinda 3-1 kwa mpira wa ujanjaujanja,alisema anataka akae top of the table ,nikajua hapa Hakuna kochawewe Masingeli tumesha kuzoea tayari, hata akiondoka mayai7 utaanza kumsifia na takwimu zako uchwara kama unavyomsifia sasa hivi De gea baada ya kuondoka, ila wakati yupo Man Utd ulikua ni full kumponda.
Manchester United mpaka muda huu tatizo lake kubwa sio Kocha wala wachezaji bali ni mmiliki na management yake yote muulize "The Special One" JosΓ© Mourinho atakuelezea vizuri.
Sancho hakuwahi kuwa ovyo ,Sancho alikuwa na misimu mitatu Bora BVB na hata UCL alikuwa anafunga magoli ,mmemuharibu nyie wenyeweAlimsajili nani kuonesha hilo au ndo mihemko? Ao unaotuwekea aliwapata? Kwa nini hakuwapata? Nani alimsajili Maguire, Sancho na Dan James?
Kipindi cha Ole Gunar walifanya vizuri wakaaharibika kwa Ten Hag? What was your point?Sancho hakuwahi kuwa ovyo ,Sancho alikuwa na misimu mitatu Bora BVB na hata UCL alikuwa anafunga magoli ,mmemuharibu nyie wenyewe
Dan James ,Elanga , hawakuwahi kuwa vibaya ,
Maguire alikuwa level kubwa alikuwa anagombewa na big teams ,
Kwa 7hag wamestack,anaowasajili ndio Vimeo zaidi ,Sancho amekuwa Kama SabiloKipindi cha Ole Gunar walifanya vizuri wakaaharibika kwa Ten Hag? What was your point?
Hujui hata unachokiongea. Unaongea ongea tu bila factsKwa 7hag wamestack,anaowasajili ndio Vimeo zaidi ,Sancho amekuwa Kama Sabilo
Utaelewa baadae sanaHujui hata unachokiongea. Unaongea ongea tu bila facts
7hag ndio anachangia Sasa kuua kipaji Cha huyo dogo Kama hujui, akianza ku gain form anampiga bench hamalizi dk 90 au next match anampanga position nyingineSancho msimu uliopita inaweza kuwa ndo msimu wake bora kwa pale man u. TH kajitahidi sana kumrudisha kwenye levels za BVB.
Ila ndo hivo sikio la kufa