Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe umemjulia wapi kabla ya world cup?

Tudanganye hapa

Amrabat had anafika miaka 26 kajulikana kwa performance ya world cup mech 3 tu

Ilishatokea kwa Davor Suker , na wengine wengi
Bora niku ignore tu kusave energy yangu.
 

Mkali UTD Ime-ruin Childhood Happiness ya Wengi sana. Kundi kubwa linatafutia faraja Chochote kile toka Kwa UTD, iwe kwa Ubaya ama kwa Uzuri ukizungumzia lazima U-trend. Angalia Talksport kina Agbonlahor, Bent, Murphy na wengine hadi unaweza staajabu Podcast kama ile wanazungumza Pointless namna ile kama hawajawahi hata Cheza Soka!!

Ila Kiuhalisia UTD kubwa saana so kwa mabaya ama Mazuri ikizungumzwa Mhusika lazima a-trend, Mashindano yoyote Ikishiriki UTD lazima yawe na mwamko tofauti, Ukiuliza Waonyesha Mpira wanakwambia Mpaka Pre-Season Utd Inakuwa na Mashabiki. Kundi kubwa la Hao Ex-Players na Officials wamekuwa wanaichukia UTD ile Asili ya Binadamu kuchukukia kilichofanikiwa. Sababu Kuu ni MAFANIKIO ya UTD na WIVU wa Wengine juu ya Mfanikio hayo! kundi kubwa ni wa zile timu kama Newcastle, Liver, Leeds, Arsenal

{Chelsea na City hizi ni timu za Misingi ya Kifedha na mashabiki wake wengi ndo wale wanadondokea kundi la "Plastic fans" Football is about loyalty ila kuna mashabiki wamehamia timu hizo}
 
We jamaa una utoto mwingi inawezekana bado upo kwenye foolish age
 
Nimeona Ile coart ya morinho josee ni walewale
 
Arsena wanakutana na Manchester United Mpya Huku Hojland kule Amrabat kushoto Sergio Reguilón nyie.!!
Mwendo wa debuts tu

Wao siwanapenda kukaa na mpira kuuficha...solution ni kufosi wafanye makosa mpira tukipata viberenge hadi kwa Ramsadle
Hamna muda wakumuonea mtu huruma uchochoro upo kwa zinny hapo
 
7hag Hana mbinu za kufundisha mpira mzuri ,acha kuwadanganya wenzako


7hag Ni kocha mbahatishaji,

Angalia hata sajili zake nyingi anasajili akisubiri miujiza itokee
Sawa ana bahatisha, lkn UCL ni robo au nusu final na ligi tunakaa namba mbili nyum ya city....hizo style of playing, overload, inverted md, talent ID tunawaachie nyie.
ETH toka amefik EPL alisema wazi maadui ni liverpool na man city ndio wanaomkwamisha kuchukua EPL, liverpool last season nmemuacha, sasa nafatlia city mkubwa mwenzetu.
Nyie mdomo mdomo fc hatuwawazii kabsa
 
Kuna mashabiki wa Arsenyani humu ni wa kupuuza. Shabiki anayekimbia jukwaa timu yake inapofanya vibaya ni walewale "plastic fans".

KONDOO FC mechi ya Jumapili presha ipo kwenu, sisi Duniani nzima inajua tulipo kwa sasa. Kuwapiga nyie wake zetu itakuwa ni kudumisha tu ndoa.

Arsenyani ataliwa magetoni kwake!!! ⏳
 
Kwa kipi mshabiki wa Liver awaonee wivu utd kiufupi tumia akili yako vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…