Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
Dah.. afadhali sasa nimejua timu sio mbaya,mbaya ni kocha. Fellaini alikuwa kwenye kiwango cha juu sana leo.alikuwa anatacle mipira mingi pale katikati,anapanda anasababisha mashambulizi eti anamtoa anamuingiza cleverly what a shame...moyes..au ndio huyo phil nevile anakudanganya hizo sub ili uchemshe aachiwe yeye timu!!!. Na jumatano utashangaa anapanga kikosi cha ajabu ajabu wakati anajua kabisa man u kombe tulilobakisha na tuna uhakika wa kulichukua ni uefa pekee!!
Naona Shamba la bibi tangu aondoke Babu imekuwa majanga watu wanajivunia tu mazao kama ya kwao vile.
its not hard to win ot nowadays as it used to be.
Yaani jana ile ndo first eleven yetu ya uhakika na ya kutegemewa still timu haina teamwork kabisa yaani hamna hata uwezo wa kupiga pasi walau 7,kwa kifupi timu haina chemistry na ni timu nzima wamecheza chini ya kiwango ukimuacha rafael de gea na kidogo rooney ila wengine wote floppy,
kinachoniuma zaidi ni kagawa kuwekwa nje kila mechi haonekani umuhimu wake najaribu kuwaza yule dogo kamakosea nini kocha ??? Kiasi ya kuadhibiwa namna ile tunajua man u ina namba kumi wengi so yeye hawezi kucheza hiyo namba tumpange basi hata namba nane najua yeye ni mzuri wa pasi fupifupi walau itatusaidia kukaa na mpira muda mrefu na wachezaji kujiposition sehemu zao.walau inaweza kupelekea kupata magoli.
what i see ni kwamba rvp iwango kimeshuka sana(hajui afanye nini na wakati gani) ila nahisi ni flustruation ambazo anazo
Wenzio Liverpool weshazoea maumivu since 1991. Arsenal since 2006. Zamu yako sasa
End this Moyes project! Go get Di Canio or Benitez
yah najua hilo mkuu ndo najaribu kuzoea hali lakini nashindwa shida haizoeleki tunahitaji misimu kama 2-3 hivi ya kujipanga turudi kwenye makali yetu,so kwa sasa na msimu ujao hatuna chetu tupo tu kama washiriki
and man utd is paying moyes for what he has been doing.End this Moyes project. Go get Di Canio or Benitez ili muanze kushinda tena
Subiri 2016
and man utd is paying moyes for what he has been doing.
Lets hope he will be sacked at the end of this season otherwise we are going to have another disapointing season.
yah najua hilo mkuu ndo najaribu kuzoea hali lakini nashindwa shida haizoeleki tunahitaji misimu kama 2-3 hivi ya kujipanga turudi kwenye makali yetu,so kwa sasa na msimu ujao hatuna chetu tupo tu kama washiriki
its not hard to win ot nowadays as it used to be.
The fear factor has gone in OT dat why even everton, Newcastle wanajivunjia tu rekodi zilizokuwa zimewekwa.
Kikosi cha jana naweza kusema ndio first eleven ya Man.Ni wazi RvP kiwango kimeshuka sana msimu huu hana confidence kabisa akipekewa mipira anakosa maamuzi ya haraka utadhani ni mchezaji mwenye umri wa miaka 18 !.Januzaj jana alitakiwa kutolewa kipindi cha kwanza lakini kwa mshangao anatolewa Fellain sijui labda aliumia sana lakini sikutegemea Cleverly achukue nafasi yake afadhali angeingia Kagawa.
Hivi Kagawa kamkosea nini Moyes au katembea na binti yake au kakosoa mbinu zake nashindwa kuelewa huyu Moyes ana mipango gani na sisi.Van Parsie alipaswa kutolewa ndani ya dk 25 za mwanzo.Bora tuondolewe ECL tusije kutana na Real au Bayer yatakuwa mauaji ya kutisha.

Yaani kipigo cha jana bado kina-replay kichwani. mweeh!!
End this Moyes project. Go get Di Canio or Benitez ili muanze kushinda tena