Simchukii 7Hag, shida ni kwamba mashabiki wengi wa utd hamtaki kuambiwa ukweli, tumekua tuki hype sana signing zetu ambazo ni mediocre mwisho wa siku zinakuja kutuumbua. Hata 7Hag ni kocha wa kawaida saana level zakina Moyes kisa ana kipara mnafikiri ni Gurdiolakwa tabia ya Ronaldo timu isipotengenezwa kumzunguka yeye hapo ndo ugomvi unapoanzia kwa ila 10hag hajui kama unamchukia ungechukulia haya mambo kawaida tu au unapumzika hadi akitoka then unaendelea na kushabikia timu yako pendwa
Simchukii 7Hag, shida ni kwamba mashabiki wengi wa utd hamtaki kuambiwa ukweli, tumekua tuki hype sana signing zetu ambazo ni mediocre mwisho wa siku zinakuja kutuumbua. Hata 7Hag ni kocha wa kawaida saana level zakina Moyes kisa ana kipara mnafikiri ni Gurdiola
Lisandro Martinez on his ideal partner at the back: “I would choose Nemanja Vidic. His mentality, his motivation and he’s always hungry.”
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2715687
They are both losers. No rocket science on thisTen hag ni level za kina moyes? Pls shut man
Akina moyes ni way too low
Kocha ambae tungeweza mpata wa level hiyo unayoitaja wewe ni yupi mkuu?Simchukii 7Hag, shida ni kwamba mashabiki wengi wa utd hamtaki kuambiwa ukweli, tumekua tuki hype sana signing zetu ambazo ni mediocre mwisho wa siku zinakuja kutuumbua. Hata 7Hag ni kocha wa kawaida saana level zakina Moyes kisa ana kipara mnafikiri ni Gurdiola
Telles unadhani hatukumuona akicheza?7Hag decided to keep Marcus Rashbeck and Luke Shaw over Cr7 and Alex Telles
View attachment 2715771
Eti kufunga dhidi ya wala urojo anadhani bado yupo top wakati hata Brighton namba hapatiTelles unadhani hatukumuona akicheza?
Huyo babu Ronaldo kwa sasa anaweza amateur football tu.
Ukweli gani unauongea? Kisa Ronaldo alitimuliwa ndiyo maana unaona EtH hafai. Sajili zetu lazima tuzi-hype, sisi ni mashabiki hata tukipinga timu haiwezi kuvunja mkataba na mchezaji ikiwa kocha anamhitaji, sajili za timu hatutoi maamuzi sisi. Aliyepewa kazi ni EtH siyo sisi acha afanye kazi yake.Simchukii 7Hag, shida ni kwamba mashabiki wengi wa utd hamtaki kuambiwa ukweli, tumekua tuki hype sana signing zetu ambazo ni mediocre mwisho wa siku zinakuja kutuumbua. Hata 7Hag ni kocha wa kawaida saana level zakina Moyes kisa ana kipara mnafikiri ni Gurdiola
Wewe ni Ronaldo fan-boy na ndiyo tatizo linapoanzia hapo. Yani Telles ndiyo unaona ni mchezaji kuzidi Shaw?7Hag decided to keep Marcus Rashbeck and Luke Shaw over Cr7 and Alex Telles
View attachment 2715771
Tulikua nae kabla, lakin sababu ya Glazers plus mashabiki hamtaki kuambiwa ukweli mkamuona hafai.Kocha ambae tungeweza mpata wa level hiyo unayoitaja wewe ni yupi mkuu?
Alex Telles ana makombe 12 kabatini mwake toka nchi tatu tofauti, Luke shaw ana mawili, na katika hayo moja alikaa jukwaani akimuangalia Damian akifanya majukumu ambayo yeye aliyashindwa. Hapo utajua nani ana winning mentality, n in football if you are not a winner, you are a loser, utachagua wewe nani ni winner na nani ni loser kati ya haoTelles unadhani hatukumuona akicheza?
Huyo babu Ronaldo kwa sasa anaweza amateur football tu.
Eti kufunga dhidi ya wala urojo anadhani bado yupo top wakati hata Brighton namba hapati
Wewe ni Ronaldo fan-boy na ndiyo tatizo linapoanzia hapo. Yani Telles ndiyo unaona ni mchezaji kuzidi Shaw?
A Dutch David MoyesTen hag ni level za kina moyes? Pls shut man
Akina moyes ni way too low
PoaSasa suala la kutengeneza timu si inategemeana na akili na malengo ya kocha, 7Hag alilazimishwa kutengeneza timu kumzunguka Ronaldo?
Ni kwa mara nyingine tena kijiwe chetu kinafunguliwa tena mizimu ya shakaola unaamka kuanza Tena kazi siku ya leo,
Wapinzani kitawaramba.View attachment 2716742