Manchester United (Red Devils) | Special Thread

It is unlikely that Hojlund will be able to play two matches-a-week for some time for fear of developing into a stress fracture, which would lead to a lengthy lay-off
Nendeni kwa Spurs...toeni hata £150 million chukueni Kane....Man U mnafeli wapi....yule ndo the missing puzzle ya nyny kubeba kombe...hamjui tu
 
Hili la Hojlund kufeli vipimo na kukutwa na back injury ,tutalizungumzia baadae

Tumekuwa tukisema Sana kuhusu sajili za kujuana , connection ,anazofanya 10hag

€85m kwa CF ana goals 9 mechi 32

Amefeli vipimo kumbe ana injury ya hatari hivo hataruhusiwa kucheza mech 2 kwa wiki moja

Sajili za kitapeli Kama hizi wanaoukuja kulaumiwa ni Grazzer

Kuna sajili nyingine ya kitapeli inakuja Amrabat ,huyu Hana anachomzid Mactominay , ila sababu wanajuana na 10hag na aliperfom mechi 2 tatu ,world cup Basi analetwa
 
Baryen wanatuma Leo au kesho ofa ya €110m

Manjesta wameshatoa €85m wametapeliwa na madalali ,unarudije kwa Grazzer kuomba €150m Tena ya CF?

Dany Levy alishasema nje ya EPL anamuuza Kane kwa £100m+ sawa na €120m+ , ndan ya EPL anamuuza £150m sawa na €165m
 
Ten Hag ni kocha mzuri sana ila kama hii ishu ni kwli itamchafulia sana...how come mistake kama hii inafanyika kwny usajili wa hela nyng kama hii na kwa timu kubwa kama hii...hii si sawa kabisa
 
Hili la Hojlund kufeli vipimo na kukutwa na back injury ,tutalizungumzia baadae

Tumekuwa tukisema Sana kuhusu sajili za kujuana , connection ,anazofanya 10hag

€85m kwa CF ana goals 9 mechi 32

Amefeli vipimo kumbe ana injury ya hatari hivo hataruhusiwa kucheza mech 2 kwa wiki moja

Sajili za kitapeli Kama hizi wanaoukuja kulaumiwa ni Grazzer

Kuna sajili nyingine ya kitapeli inakuja Amrabat ,huyu Hana anachomzid Mactominay , ila sababu wanajuana na 10hag na aliperfom mechi 2 tatu ,world cup Basi analetwa
Kijana hana historia ya injury ndio maana last season kacheza games 44 mashindano yote na pre season pia kacheza labda kaumia kwenye mechi za kirafiki hizi.

But hata mimi nashangaa inakuwaje mchezaji afeli vipimo vya afya halafu achukuliwe tu kirahisi

Hilo la kufeli medical umetunga wewe,ila tunachotakiwa kujiuliza mchezaji kafaulu vipi vipimo vya afya huku ni majeruhi!

Bado nashuku hii ni mind game ya kumpunguzia kijana presha kwa mzigo anaoenda kuubea mgongoni ili mashabiki wasitarajie sana makubwa hasa kwa thamani yake.
 
Nasikia kafeli vipimo ,imebid aendelee hivo hivo ila hatacheza mechi nyingi

Ten hag na vituko vya sajili zake
Mkuu sio Jambo la kucheka hili, nyumbu wanatia simanzi Sana
.
Yani walificha baadhi ya vipimo, ili usajiri ukamilike tu au.? Hii huku Mtaani wanaita bora liende
.
Au hilo jina la hajimanara limewazuzua mkajua ni haaland ?
 
Kijana hana historia ya injury ndio maana last season kacheza games 44 mashindano yote na pre season pia kacheza labda kaumia kwenye mechi za kirafiki hizi.

But hata mimi nashangaa inakuwaje mchezaji afeli vipimo vya afya halafu achukuliwe tu kirahisi

Hilo la kufeli medical umetunga wewe,ila tunachotakiwa kujiuliza mchezaji kafaulu vipi vipimo vya afya huku ni majeruhi!

Bado nashuku hii ni mind game ya kumpunguzia kijana presha kwa mzigo anaoenda kuubea mgongoni ili mashabiki wasitarajie sana makubwa hasa kwa thamani yake.
Vyanzo vya manjesta vingi vinasema dogo alifeli vipimo

vyanzo vya kuaminika Kama The Athletic ndio wamekuja na habari hizi ana back injury mbaya na hataruhusiwa kucheza mech 2 kwa wiki

Sasa wewe unabisha

Soma hapa

After failing the first part of his medical test , Rasmus Hojlund was forced to go to London for more checks, doctor told him it would take some months to get back to his best

| Rasmus Højlund is nursing a back injury, which is likely to limit his playing time for #mufc at the start of the season.

[@MattHughesDM]

| A MRI scan conducted as part of the Rasmus Højlund's medical last week revealed a stress response hotspot in his back, which can be the start of stress fractures in young players. [@MattHughesDM]
20230808_205234.jpg
 
View attachment 2712195
Kocha alisema wiki 2 za mwanzo anaweza kupumzishwa kwa ajili ya kupata match fitness kwa sababu alicheza mechi nyingi sana last season kwa umri wake according to doctor anayemuangalia.

Hii habari hadi ije itoke sky sports ndio nitaamini asilimia zote ila hadi sasa ni speculations tupu.

Sema United napo inahitaji kusukwa uongozi mpya kama ikiwa kweli,mchezaji akifeli vipimo vya afya maana yake na dili linakufa sasa why walipitishe,hawajui kazi yao.

Ndio wakasajili mshambuliaji mwingine maana tulijua tunaenda kutatua tatizo la namba 9 so hadi tumsubiri hizo wiki kwa watu wetu mbele pale hapana.
 
Hata kwa Squad tuliyonayo, Kwenye midfield, Eriksen, Casemiro Fred, Scot na VDB kama watatu wakitoka maana yake tutabaki na watu wawili tu eneo hilo na Kobbie Mainoo ameumia.

Sote tunajua Eriksen baada ya injury amekuwa akicheza 30 minutes tu baada ya hapo anakuwa uchochoro, Casemiro akicheza ten games anakuwa amepata kadi tatu za njano au red.

Wakiondoka hao watatu unabaki na the weakest squad kwenye epl hata Notingham watakuja kwako kujipigia tu.

Haieleweki kama tukiuza Maguire, Fred na Scot tutasajili tena Midfielders wa kiwango kikubwa.

Kama ni Amrabat hell no.
Mkuu relax. Don't overthink. 3+7+Jagi tunamuamini. Ikishindikana kabisa, hawa Wambasaka anapiga mido fresh tuu.
 
Vyanzo vya manjesta vingi vinasema dogo alifeli vipimo

vyanzo vya kuaminika Kama The Athletic ndio wamekuja na habari hizi ana back injury mbaya na hataruhusiwa kucheza mech 2 kwa wiki

Sasa wewe unabisha

Soma hapa

After failing the first part of his medical test , Rasmus Hojlund was forced to go to London for more checks, doctor told him it would take some months to get back to his best

| Rasmus Højlund is nursing a back injury, which is likely to limit his playing time for #mufc at the start of the season.

[@MattHughesDM]

| A MRI scan conducted as part of the Rasmus Højlund's medical last week revealed a stress response hotspot in his back, which can be the start of stress fractures in young players. [@MattHughesDM]
View attachment 2712195
Nyumbu wameukimbia Uzi wao na ata wakiwepo maongezi yao KAMA VIPI, VIPI TU

Unaendaje kwa Glazzer kutaka pesa nyingine ya mshambuliaji?
Utakuta nyumbu wanaanza kumtukana boss na sio 7+3hag

Unajiuliza hawa watu kuitwa nyumbu, sio kwa bahati mbaya
JamiiForums941325652.jpg
 
View attachment 2712213
Hata kama kocha ndio alimtaka huyo kijana still kama alifeli vipimo walitakiwa kuvunja dili ili waangalie options nyingine why waendelee,hilo sio tatizo lake ni la wanaohusika na usajili yeye kazi yake kupendekeza majina ya anaowataka .
 
JUST IN:
#mufc have opened talks with Nice and Jean-Clair Todibo's entourage in anticipation of the sale of Harry Maguire.
@FabriceHawkins

Hapa anafukuzwa varane kiujanja na si maguire.
Tuliosoma kwenye mji wa kumamoto ndio tunaelewa code kama hizi
Kuna kipindi United walimlist Bastian Shweinsteiger kama liability kwenye vitabu vyao. Bila shaka na sasa zipo liability za kutosha.

1. Varane
2. Martial
3. Baily
 
Manchester United's 2023/24 third kit

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2711776View attachment 2711777View attachment 2711778View attachment 2711779View attachment 2711780View attachment 2711781
Msimu huu mna Uzi mkaliii
 
Angalau sasa some of the so called top reds akili zimeanza kuwakaa sawa hata kabla msimu kuanza.
Hojlund nje wiki 6, lakin hata akirudi hataruhusiwa kucheza mech 2 kwa wiki, mnarudi kuwatumia kina Anthony martial

Rasmus Hojlund could be six weeks away from being fit for Manchester United

Daily mail

Thus why huwa watu wanadhan nafanya jokes, sijawahi amini katika sajili za 10hag ,zimekaa kijanja kijanja

Za ndan kabisa dogo alifeli vipimo
 
Back
Top Bottom