Wewe endelea kuimba masingeli yako tu, ila kuna hospitali tayari zimewaazishia wagonjwa wa cancer therapy ya kutazama mechi mbili za Utd kila wiki na matokeo yamekua ni chanya kwa % kubwa sana.
Huyu Fremason Mount mbona kama ana uWighorst ndani yake?
Unakosaje sasa kufunga goli uko peke yako tu na kipa?
Hivi Chelsea mnatuchukuliaje kwani?
Kwani pesa yenu mshalipwa yote maana dirisha bado liko wazi.
Huyu Fremason Mount mbona kama ana uWighorst ndani yake?
Unakosaje sasa kufunga goli uko peke yako tu kipa?
Hivi Chelsea mnatuchukuliaje kwani?
Kwani pesa yenu mshalipwa yote maana dirisha bado liko wazi.
Aiseeee tokea pre-season imeanza huyu Fremason binafsi sijaona impact yoyote toka kwake zaidi ya zile picha zake tu za kupendeza amepiga akiwa anatabasamu ndani ya uzi wa Man Utd.