Tatizo unaongelea mambo bila reasoning. EtH akiamua kuwa against Glazers itabidi afukuzwe.It means he is Glazer's puppet, anafanya vitu ambavyo ana agizwa na Glazers ambao ni mabosi wake, kama tuna amini Glazers hawawezi kutufikisha nchi ya ahadi so is SevenHag
Sio aliitwa, "Alikua" ndio maana hakuna la maana alilolifanya kwenye carrier yake ya ukocha zaidi ya kuishusha daraja Cardiff
Ronaldo ali sacrifice kazi yake sababu ya utd, kitu ambacho SevenHag kashindwa, Aliongea ukweli kuhusu uendeshwaji wa club, miundo mbinu iliyo kuwepo enzi za kinjekitile ndio bado ipo hadi leo, pesa zinaenda wapi? Hapo ndio ilikua golden chance kwa wachezaji na staff wengine kumuunga mkono Ronaldo, Glazers hawawezi kufukuza wachezaji wote na staff at once, mikojo inavuja vyooni ovyo, mashabiki wanaoenda uwanjani wana lalamika lakin kocha anakuambia ana iman na wamiliki, tutakuja kushtuka OT yamebaki magofu.
Mkuu majukwaa yote Yana watu wa aina tofauti kikubwa nikuishi na watu wa kila Aina kila tabiaLina matusi kushinda jukwaa lenu la mid table team kutoka London
View attachment 2701226View attachment 2701227
Una hoja ila tambua Kocha hawez toka hadharan aseme Wamiliki mapungufu Yao ,asubuhi tu atafukuzwaIt means he is Glazer's puppet, anafanya vitu ambavyo ana agizwa na Glazers ambao ni mabosi wake, kama tuna amini Glazers hawawezi kutufikisha nchi ya ahadi so is SevenHag
Sio aliitwa, "Alikua" ndio maana hakuna la maana alilolifanya kwenye carrier yake ya ukocha zaidi ya kuishusha daraja Cardiff
Ronaldo ali sacrifice kazi yake sababu ya utd, kitu ambacho SevenHag kashindwa, Aliongea ukweli kuhusu uendeshwaji wa club, miundo mbinu iliyo kuwepo enzi za kinjekitile ndio bado ipo hadi leo, pesa zinaenda wapi? Hapo ndio ilikua golden chance kwa wachezaji na staff wengine kumuunga mkono Ronaldo, Glazers hawawezi kufukuza wachezaji wote na staff at once, mikojo inavuja vyooni ovyo, mashabiki wanaoenda uwanjani wana lalamika lakin kocha anakuambia ana iman na wamiliki, tutakuja kushtuka OT yamebaki magofu.
Shida yenu hamtaki kukubali Kuna fans ambao ni fanatic , na wenye mitazamo Kama huyu jamaa wapo kote ,Tatizo unaongelea mambo bila reasoning. EtH akiamua kuwa against Glazers itabidi afukuzwe.
Glazers ndiyo wamiliki wa timu. Wana haki ya kuuza au kutouza timu kwa hiari yao wenyewe.
Let say EtH angekuwa pamoja na Ronaldo kuwasema Glazers means na yeye angekuwa ameshafukuzwa.
Kwa maana hiyo kwa ule muda toka Ronaldo kaondoka angekuja kocha mpya ambaye bado angekuwa chini ya Glazers maana timu bado haijauzwa mpaka leo. Kwahiyo kocha mpya naye unategemea asingewasikiliza waajiri wake ili afukuzwe? Au angekaa kimya na huyo ungemuita "Glazers puppet" siyo?
Unaposema wachezaji wangekuwa na nia moja kama Ronaldo unajua namna mikataba inavyofanya kazi?
Breach of contract ndiyo kitu kilifanya Ronaldo aonyeshwe mlango wa kutokea.
Ni rahisi sana kumuita kocha "Glazer's puppet" au kuwa against Glazers kwasababu wewe au familia yako haitakuwa affected EtH akifukuzwa kazi.
Kwenye kufanya revolution vipigo vitakatifu haviepukiki ,klopp mwenyewe kashachezea vipondo haswa wakat anafiki LiverpoolSasa hapo ameandika nini cha maana? [emoji23]
Ninapokubaliana naye ni kwenye kufungwa 7-0 na rivals siyo jambo la kawaida. Ila na wewe unaamini hiyo ni sababu ya kumfuza kocha kweli?
Ndio maana nikasema huna akili
Sizungumzii mpira wa kucheza hapa kwa yeye kama huko nyuma nazungumzia management na reality mfano hao akina Neville walikuwa wanajua wa kucheza tu kufundisha ziro wamechapika sana kama makocha huku wao full kuwaponda makocha wengine na kazi hawaiwezi
Nafuu ya Rio anatuliaga hawezi kujifanya mjuaji kuliko kocha yoyote.
Point ipo hapa mpe timu hata huyo Cole kama hafukuzwi ndani ya game 10 tu.
Usipoelewa rudi utotoni kanyonye
Hujalazimishwa kusoma ni kwa sababu limekuchoma karoho kanasuta piece of trash tena non recyclable[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Umekandwa na maji ya baridi tulia acha kuandika magazeti nobody has time to read that shite.
[emoji16][emoji16][emoji16]Unataka kumaanisha kipigo kutoka kwa mabingwa wa Uefa mara 14 ndio kimenipeleka mafichoni?Flano upo wapi siku 2 Sasa , umepatwa na Nini ?
Wala simaanishi sababu mlifungwa ,mm najua hizi pre season tu , halafu mbona mlicheza vzr hasa uwepo wa onana ,mmeanza nitisha kidogo kuna mech atawasaidia kuvuna point maana Kuna pass atapiga zitawasaidia kufanya kaunta mkapata goli .[emoji16][emoji16][emoji16]Unataka kumaanisha kipigo kutoka kwa mabingwa wa Uefa mara 14 ndio kimenipeleka mafichoni?
Mimi nimejaa tele humu kazi yangu ni kugonga Like tu, mkono umekua mzito kweli kuandika, yaani kila nikitaka kuandika naulumbuka ule mgoli wa Bellingham na ule mgoli wa Tiktak tahamaki nishasahau hata ninachotaka kuandika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila nikitaka kuja kuwapiga madongo kwenye jukwaa lenu nikifikiria zile goli 5 mlizompiga Barca naghairi, ila sio mbaya nachungulia kila mara namuona.Wala simaanishi sababu mlifungwa ,mm najua hizi pre season tu , halafu mbona mlicheza vzr hasa uwepo wa onana ,mmeanza nitisha kidogo kuna mech atawasaidia kuvuna point maana Kuna pass atapiga zitawasaidia kufanya kaunta mkapata goli .
Ila sio kawaida yako kuwa kimya hivo ,unaweza kuta kumbe umetekwa au umepata matatizo
Mimi ile mech nimeangalia jamaa amewaongezea kitu Cha tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila nikitaka kuja kuwapiga madongo kwenye jukwaa lenu nikifikiria zile goli 5 mlizompiga Barca naghairi, ila sio mbaya nachungulia kila mara namuona...
Kuna point naiona katika hoja yako. Ndio maana hawataki kuschia timu. "HIV anatokea muarabu yutayari kutoa 6B lakini wanajivuta."It means he is Glazer's puppet, anafanya vitu ambavyo ana agizwa na Glazers ambao ni mabosi wake, kama tuna amini Glazers hawawezi kutufikisha nchi ya ahadi so is SevenHa...
Man city wameziba kiraka kipi ?Kwa usajili unavyosuasua na aina ya ya wachezaji tulionao. Tutegemee kuwa top four contenders na siyo title contenders,ukilinganisha na namna Arsenal na Man City walivyokuwa Bora msimu ulopita na jitihada za kuziba viraka vyao zinavyofanyika. Mana wachezaji ni wale wale na walikuwa na mwalimu yule yule,so sitegemei mabadiliko makubwa kiuchezaji
Huyo ni Pro Mourinho tangu babu yake afukuzwe United dishi lilishayumba.Shida yenu hamtaki kukubali Kuna fans ambao ni fanatic , na wenye mitazamo Kama huyu jamaa wapo kote...
Wangewaongeza na makofi Westham Maguire hata kama ni mbovu hawezi kuuzwa chini ya 50m.West ham wametuma ofa ya paundi millioni 20 kwa ajili ya harry maguire, man utd wameikataa ofa hiyo.
Chanzo: david ornstein
West ham wametuma ofa ya paundi millioni 20 kwa ajili ya harry maguire, man utd wameikataa ofa hiyo.
Chanzo: david ornstein
jamaa anajikuta nani sijui uchambuzi anaujua yeye usajili yeye habari za ten hag na glazers zote anajibia yeye haya bwana richard arnold wa bongoNarudi palepale kuwa hamna akili[emoji23]
Martial yupo sokoni pia hayupo kwenye plan za kocha ndio maana anafukuziwa Hojlund,pia Scott naye anauzwa na West Ham wanamtaka japo wanashindwa kufikia makubaliano ya dau.
So kocha kutokuwa na wachezaji bora ndio puppet wa wamiliki dah sijui umeishia la ngapi aisee mbona una akili za kitoto hivi kama jamaa yako.
Kocha kuzingua hayo ni matatizo yake msianze kumpa connection na Glazers ambao hata vurugu za mashabiki zimeshindwa kuwaondoa yeye ni nani awe against nao wakati ndio waliomuajiri pamoja na wachezaji wote.
Mashabikiwa Bongo kila kitu kujifanya wachambuzi wakati hata danadana kupiga ziro,trash[emoji706]
Wewe dogo umekuja kasi sana. Hebu punguza kuwatukana watu. Hujui kama kuna watu humu umri wa baba au babu yako halafu wewe unawaita hawana akili randomly.Narudi palepale kuwa hamna akili[emoji23]
Martial yupo sokoni pia hayupo kwenye plan za kocha ndio maana anafukuziwa Hojlund,pia Scott naye anauzwa na West Ham wanamtaka japo wanashindwa kufikia makubaliano ya dau.
So kocha kutokuwa na wachezaji bora ndio puppet wa wamiliki dah sijui umeishia la ngapi aisee mbona una akili za kitoto hivi kama jamaa yako.
Kocha kuzingua hayo ni matatizo yake msianze kumpa connection na Glazers ambao hata vurugu za mashabiki zimeshindwa kuwaondoa yeye ni nani awe against nao wakati ndio waliomuajiri pamoja na wachezaji wote.
Mashabikiwa Bongo kila kitu kujifanya wachambuzi wakati hata danadana kupiga ziro,trash[emoji706]